Mwalimu Atoa Misaada Kwa Wazee

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267


Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisalimiana kwa furaha na wakaazi wa Kituo cha Makazi ya Wazee na Watu Walemavu cha Nunge, Kigambo ni, jijini Dar es salaam alikotembelea na kusikiliza mahitaji yao pamoja na kutoa msaada wa mchele kilo 3000, Unga kilo 3000 na Maharage Kilo 1200 ikiwa msaada wake kwa wazee na walemavu hao.



Taratibu Pazia la Hekalu Linaanza KUpasuka
 
huo msafara wake ndio kodi zetu, inagwa si jambo baya lakini kufadhili wazee kwa tiketi ya kodi zetu na kusema anatoa kama yeye si sahihi
Zimetoka kwenye mfuko wa nani hizo??

Au ni kodi zetu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…