Mwalimu amnyonga mwanae kisha na yeye kujinyonga

ABDUL JIRANI

Senior Member
Joined
Jul 20, 2013
Posts
176
Reaction score
52
Wadau hili nalileta kwa mara ya pili kwa sababu nilishatoa mada hivi karibuni,

Ni hivi kuna mwalimu kamnyonga mwanae kisha na yeye mwenyewe akajimaliza kwa kujinyonga pia.
Kisa ni binti mmoja ambaye alikuwa ni mpenzi wake tangu nasoma jamaa ni mwalimu alianza kuishi na binti huo kipindi yupo kidato cha kwanza akampa mimba akahangaika wakaitoa.

Lakini wazazi yule binti walishamsusia kwa kila kitu kwahyo jamaa kahangaika mpaka amemaliza kidato 4 akafeli akampa mimba na kufanikiwa kupata mtoto wa kiume baada ya mtoto kujitambua kidogo binti akadai anataka kurudia mtihani akarudi na kufadikiwa kupata vikredi. Baada ya hapo jamaa akahangaika kumtafutia kazi akapata kwenda upolisi.

Binti baada ya kwenda huko akachukua mafunzo yake na kuajiliwa kabisa. Baadaye anarudi nyumbani anasema hamtaki kisa amempata polisi mwenzie. Kwa hyo kutokana na mawazo ya jinsi alivyohangaika juu yake ndio zikamjia stress akamnyonga mtoto then na mwenyewe akajimalizia.

WANAWAKE MUWE NA MOYO WA HURUMA MNAPOSAIDIWA
 
Kwa nini amekatisha uhai wa damu isiyo na hatia asee...Hapo tu ndo kosa lipo, si angeenda huko alipo mwenyewe...Very sad kwa mtoto na Mungu ailaze roho ya mtoto mahala pema pepon.
 
Mapenzi hayana kanuni, nikiza kinene, hata wanaume wapo wengi tu ambao hawana shukrani katika hii dunia.

Unakuta mtu umemkuta hana A wala B unakomaa mwanake kuhakikisha maisha yanasimama lakini mkifanikiwa kidogo tu, mtu anaingiza changudoa na kulala nae kwenye mashuka uliyonunua, na khanga zako changudoa anaogea, Aisee haya mambo hayana mwanamke wala mwanaume, roho ya mtu.

Suala kubwa nikuangalia mapenzi kama yalivyo na kuto ruhusu yakakuumiza.
 
Usimwamini mwanamke mchukue kama alivyo akikufanyia ujinga mpotezee wewe ni mwanaumE
 

Kama mawaume anafanya hvyo n kum kwa mmoja tofaut na wanawake
 
Da hii inasikitisha sana, nadhani alifanya vile kwa mawazo ya kumkomoa huyo mwanamke, kumbe kajikomoa yeye mwenyewe mara 2. R.I.P Son
 
Sijui kwa nini stori ninazosoma leo nyingi zinasikitisha
 
Lakini kwa kweli kujiua sio suluhisho kabisa, kama hutaki kuonana na huyo mwenza beba vitu vyako hama mkoa kaanze maisha upya kwingine.

Wengi wanaojiua huwa wanaacha matatizo makubwa nyuma kuliko matatizo yaliyokuwepo walipokuwa hai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…