UmtwaAlumbwagwe
Member
- May 24, 2012
- 54
- 10
Nimetafakari sana na kujikuta nakosa majibu ya moja kwa moja, pale nilipoona katika taarifa ya habari ya ITV saa 2 usiku huu; mwalimu mmoja ameibuka mshindi katika shindano la wanywaji wa bia ya SERENGETI. Waandaaji wamempongeza na kuwataka watu kuendelea kunywa zaidi...
Nilichojiuliza mimi ni: 1.Hivi kwa mwalimu kuibuka mshindi wa unywaji wa pombe ni UMAARUFU?
2.Je! tukihusianisha na kiwango cha ufaulu wa watoto wetu tunagundua nini?
Haya ni matusi yasiyovumilika kwa walimu yani mshaara wa laki 3.5 [take home], ela ya tution, kamradi ka ubuyu.halfcake,karanga, kuku, mifugo au duka inaweza kumfanya mwalimu ashindwe kupata bia jamani ,Nampongeza sana huyo anayejitahidi kunywa walau bia..
Wengi wao wanakunywa pombe za kienyeji tu like misapuro, udang'a. choya, chang'aa n.k
Sasa wewe unamshangaa huyu wa bia ambaye ni afadhali?
Haya ni matusi yasiyovumilika kwa walimu yani mshaara wa laki 3.5 [take home], ela ya tution, kamradi ka ubuyu.halfcake,karanga, kuku, mifugo au duka inaweza kumfanya mwalimu ashindwe kupata bia jamani ,
naomba ufute kauli kwa walimu kwani umewadhalilisha.