Mwalim mwenzangu njoo hapa tuliwazane

Mwalim mwenzangu njoo hapa tuliwazane

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,524
Reaction score
14,199
Sio kwamba nabagua ila ndio nimeona sahihi zaid. Ni kwamba mimi n me aged 23 na 2015 ntakuwa nshagraduate hivyo natafuta mrembo wa kuishi naye( mchumba) awe mwanachuo wa ualimu ngaz yeyote aged btn 18-21. Kwa aliye tayar ani PM tupeana macontact plz nahtaj serious women coz ningekuwa natania ningeenda jokes
 
Mkuu...Hivi mpaka Uje JF kutafuta Mchumba,Ina maana huko Mtaani hawapo au ndo Udomozege?..Samahani lakini
 
Ni kwamba mimi n me aged 23 na 215 ntakuwa nshagraduate hivyo natafuta mrembo wa kuishi naye( mchumba) awe mwanachuo wa ualimu ngaz yeyote aged btn 18-21.
jamaa yangu wewe ni kikongwe au unatarajia kufika miaka 215
na kwa nini uchague Mwalimu tu?
 
huku utapata wafuasi wa cameron +ve sio -ve mashoga aimini
 
Sio kwamba nabagua ila ndio nimeona sahihi zaid. Ni kwamba mimi n me aged 23 na 2015 ntakuwa nshagraduate hivyo natafuta mrembo wa kuishi naye( mchumba) awe mwanachuo wa ualimu ngaz yeyote aged btn 18-21. Kwa aliye tayar ani PM tupeana macontact plz nahtaj serious women coz ningekuwa natania ningeenda jokes

Mimi naamin mapenzi huanzia popote hivyo haina haja kunikatisha tamaa maana yupo alietoa ushuhuda wake hapa kwamba amefanikiwa kupata alichohtaj
 
Back
Top Bottom