MoneyMakers
Member
- Feb 25, 2008
- 64
- 9
Asante kwa mualiko...ila ni kitu gani hii na mshindi anapatikanaje na ushiriki ni kwa kufanya nini..
Wakuu,asante sana kwa mwaliko wako best ila hatujui ni mashindano ya aina gani haya na mshindi anapatikanaje au inakuwaje?
Mmekuja Tanzania sasa!!??? Haya karibuni sana. Mtawapata akina mtozeni wapenda magari ya bure bila kujishughulisha.Wakuu,
Hili sio shindano bali ni biashara ya ukweli ijulikanayo kama BIASHARA YA MTANDAO (NETWORK MARKETING) kupitia kampuni ya EDMARK. Haihitaji uwe na elimu ya juu (degree na kuendela) au mtaji mkubwa ili kuweza kufanya biashara hii kwa ufanisi bali UTAYARI WAKO wa kuwajulisha watu wako wa karibu uwepo wa bidhaa nzuri (virutubisho) zinazotibu magonjwa mbalimbali tena katika muda wako wa ziada na hivyo kugusa maisha yao kwa habari ya afya zao na kipato. Kuna faida nyingi za ukifanya biashara ya Mtandao kupitia Kampuni ya EDMARK kama pesa za kutosha, safari za mapumziko nje ya nchi, gari, na nyumba. Ni vema kufikia maamuzi na kuwa SEHEMU YA EDMARK. STAY WITH EDMARK and FEEL GOOD NOW!
Kutakuwa na magimbi na Juisi ya njegere (Kiafya zaidi).Sorry kutakuwa na chakula?? aka mpunga??
Wakuu,