...Msikumbatie serikali bali wananchi waliowapa nafasi hiyo...
Kaka mie naona kama mgao wa umeme unaoingia madarakani kwa kasi kubwa sasa una undungu na hizo 185b?You will never hear them now!!
They paved a way for 185bn!!! and now they are ministers what else do you need??
we have to differentiate politics, laws and technical matters. It is not secret that those mentioned guys they did everything they could to please public that alone is a clear sign of bad leaders.
jamaa wako kwenye nafasi za utii na usiri wa baraza la mawaziri kwa hiyo mwajiri wao sasa ni serikali sio wananchi tena kwa mujibu wa sheria za nchi hii.
Kaka mie naona kama mgao wa umeme unaoingia madarakani kwa kasi kubwa sasa una undungu na hizo 185b?
You will never hear them now!!
They paved a way for 185bn!!! and now they are ministers what else do you need??
we have to differentiate politics, laws and technical matters. It is not secret that those mentioned guys they did everything they could to please public that alone is a clear sign of bad leaders.
They are all cowards and hypocrites! BTW that's how most Tanzanians are. Kama wangekua wapambanaji wa kweli katika kutetea maslahi ya wananchi wengi,izo nafasi za uwaziri wangezikataa. Ila kwa vile waTZ wengi ndo walivyo,wamezikubali ili wafaidi mafao ya uwaziri na madaraka. Hivyo tusitarajie lolote toka kwao. The whole government system under CCM is so stinky,it needs a special deodorant.