QUALITY
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 853
- 115
Katika gazeti la Mwananchi, December 2, 2010; imeandikwa:
SHIRIKA la Umeme nchini (Tanesco) limeamriwa kulipa fidia ya Sh106 bilioni kwa kampuni ya ufuaji umeme ya Dowans Tanzania Limited baada ya kuvunja mkataba.Uamuzi uliotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Migogoro ya Biashara (ICC Court), Novemba 15, mwaka huu chini ya Mwenyekiti Gerald Aksen na wasuluhihi Swithin Munyantwali, Jonathan Parker uliamuru Tanesco iilipe Dowans kiasi hicho cha fidia...
Sasa ndugu zetu Mwakyembe ambaye ulikuwa mwenyekiti kwenye kamati iliyowasilisha taarifa bungeni na hatimae kumg'oa Lowasa. Mliongea sana kuhusu hili na nina washukuru sana.
Huu ni wakati mwafaka zaidi kwenu kujitokeza na kuliongelea zaidi na kushauri nini kifanyike kwa maslahi ya wananchi.
Msikumbatie serikali bali wananchi waliowapa nafasi hiyo. Nawasilisha