Wakata vimeo wacheni nongwa, huyo Kiduku wenu mwambieni aache ndoto za kutaka kutembelea nyota ya MwakinyoNamshauri AACHE Tabia yake ya kubebwa na marefa,,la iko siku atakuja fia ulingoni
Ndio maana anamkacha Twaha kiduku View attachment 1923505
Mwakinyo ni professional boxer siyo mpiganaji wa mitaani. Huyo mbeba zege wenu akidhi vigezo na masharti kwanza siyo mnaropoka tu kama mnaagiza bia kwenye barMWAKINYO si mbabe Hana sababu ya kumuogopa Kiduku,, ampige round
Ya kwanza KO basi tujue moja
In both MMA and Boxing, a T.K.O. occurs when the referee determines that the fighter is unable to defend himself, despite being fully conscious.Mkuu tuko pamoja yaani muamuzi alimaliza pambano mapema kijanja,, hila jamaa alikuwa anaweza kuendelea na mwisho angeweza shinda Kama yule rasi wa south,, alipigwa round zote lakini ya mwisho yule dogo nilimuonea huruma
kama kabebwa nenda kaombe pambano naye
Yes John Chaggu ni mtanzania. Amekua kwenye boxing miaka mingi, ila amejiabisha sana kwa alichokifanya.Kwani Muamuzi wa kati alikua mtanzania!?
Umeongea vizuri sana! No doubt you know this game well. I was a boxer myself in 1990's I know the game very well and I know how it hurt when someone does stupid figisu like that. I know The referee and he was very well officiating bouts back then. I"m pretty sure his decision was preplaned to favor Mwakinyo.Kwa tunaoijua boxing, mwamuzi wa katikati ali-mess up kidogo. Maamuzi yake ya kumaliza pambano mapema vile, mmh, ni walakini. Indongo alionesha bado kuwa na uwezo wa kuendelea na pambano na hata kushinda, haiyumkiniki.
Mwamuzi yule mzee naweza sema alikatisha pambano prematurely. Pambano la Tony na Mahlangu linatupa mwanga kidogo kuhusiana na situation hii. Mahlangu alionekana kuzidiwa tangu round ya kwanza lakini mwamuzi hakukatisha pambano. Tukashuhudia aliyepigwa round zote ndiyo kampiga kwa KO mpinzani wake. Yeah, that's boxing. It's a fight or die game!
Kuna bout hupenda kuitazama titled "Greatest Comeback in boxing History" kati ya Diego Corrales dhidi ya Jose Luis Castillo. Mwamuzi kama wa jana angemaliza fight mapema kwa kumpatia Jose ushindi kwani mpinzani wake Diego alionekana wazi kuzidiwa na alikuwa ameumizwa hata hawezi kuona vizuri. Lakini, mnamo round ya mwisho, miraculously, Diego aliamka kutoka "ndotoni" (Twaha Kiduku) akaushangaza ulimwengu wa ndondi. Waamuzi wafuate sheria. Wataharibu ladha ya mchezo huu ambao umeanza kupendwa tena.
Hata hivyo, hongera sana Hassan. Ulicheza vizuri na ulionesha uwezo dhidi ya mpinzani wako. Naamini Mwalimu wako atafanya corrections kwenye maeneo machache kadhaa, ikiwemo, speed, feetwork, target, nk.
Naamini, una nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa dunia. Hongera sana.
Umeanza vizuri umekuja vurunda mwishoniUmeongea vizuri sana! No doubt you know this game well. I was a boxer myself in 1990's I know the game very well and I know how it hurt when someone does stupid figisu like that. I know The referee and he was very well officiating bouts back then. I"m pretty sure his decision was preplaned to favor Mwakinyo.
But there was no need for that since Mwakinyo had already started to show the upper hand against his opponent. It was just a matter of time Indingo was going to fall.
Kifupi amejiabisha na kutuaibisha watanzania.
Pia hata Chaurembo Palasa aliechezesha bout ya Tony Rashid na Bongani alikuwa anaonyesha upendeleo wa wazi. Kwa mfano kila wakati alikuwa anamuonya Bongani kwa kukimbia kwenye ulingo, sijui maamuzi hayo alijifunzia wapi? Ilikuwa ni kutaka kumpa favour Tony. Kama ni mfuatiliaji was ngumi kaangalie pambano la marudiano kati ya Sugar ray Leonard vs Robert Duran. Uone jinsi Sugar alivyokuwa anamkimbia na kumfrustrate Duran.
Kifupi hatuna marefa au njaa zunawasumbua wanabakia kupendelea waziwazi!
Hata hivyo
Hongera Mwakinyo kwa ushindi, ushindi ni ushindi tu!!!
Ni mtazamo wako, sikupingi!!Umeanza vizuri umekuja vurunda mwishoni