Kwa kweli mie uongozi wa mwenyekiti Rage sijui niuiteje? Ni mara mia uongozi wa kina Mzee Dalali walikuwa na hekima! Kuliko mbwembwe na utapeli wa hawa kazi kusingizia watu wengine kwa failures zao! Unadanganya watu unajenga kiwanja cha kisasa bila kuonyesha source of Funds! Halafu watu tunamuangalia tu! Unatuletea mambo ya uccm na ahadi za kudanganyia watu na kujisifu kwingii! Hopeless kabisa!.