Ms. Kadadaa jumapili
Senior Member
- Jul 9, 2013
- 102
- 48
[emoji121]Habarini wanajamvi, Mimi ni msichana natafuta kazi ambayo ni halali itakayoniingizia kipato, Nina degree ya procurement and logistics management.. Kwa mwenye kuweza kunisaidia au anaitaji maelezo zaidi naomba anicheck pm.
Natanguliza Shukrani.
Sikukatishi tamaa.... lakini sio lazima watu wote waajiriwe. Jiajiri usipoteze muda. elimu yako itakuwasadia sana kwenye kujiajiri
Hatutaki kusikia ushauri mbadala, okay basi aendelee kusubiri miaka mingine na mingine....Watu kama nyie ovyo kabisa. Ajiajiri vipi, mtaji utampa?.... Mkishapata mnajua kuwambia wenzenu wajiajiri wakati wewe mwenyewe hapo umeajiriwa. Shit
Hatutaki kusikia ushauri mbadala, okay basi aendelee kusubiri miaka mingine na mingine....
Afu mtaji mbona unasingiziwa sana ili ujiajiri inahitajika uwe na million ngapi?
Watu kama nyie ovyo kabisa. Ajiajiri vipi, mtaji utampa?.... Mkishapata mnajua kuwambia wenzenu wajiajiri wakati wewe mwenyewe hapo umeajiriwa. Shit
Ok nipm unielekeze hope ntaiweza mkuuKama upo Dar itakuwa vyema kuna shughuli ambayo siyo ulosomea lakini kwa sabbu wewe ni somi nina uhakika hutaishindwa ni kama stepping stone.
TunasubiriMs. kadadaa na wengine wote subirini kidogo tunamalizia kuwatoa ghost workers
Hebu nifungue macho basi jinsi ya kupata walau mtaji mkuuSikukatishi tamaa.... lakini sio lazima watu wote waajiriwe. Jiajiri usipoteze muda. elimu yako itakuwasadia sana kwenye kujiajiri
Dada Evalyn salt ntakutafuta....unipe mbinu mdada mwenzioHatutaki kusikia ushauri mbadala, okay basi aendelee kusubiri miaka mingine na mingine....
Afu mtaji mbona unasingiziwa sana ili ujiajiri inahitajika uwe na million ngapi?
Hebu nifungue macho basi jinsi ya kupata walau mtaji mkuu
Watu kama nyie ovyo kabisa. Ajiajiri vipi, mtaji utampa?.... Mkishapata mnajua kuwambia wenzenu wajiajiri wakati wewe mwenyewe hapo umeajiriwa. Shit