Mwaka umepita Tangu Rais Magufuli aseme amesitisha ajira kwa miezi miwili

Kwan c tulshaambiwa pombe mwisho kaunta sasa mmeiplka ikulu huu ni upmbavu wa watu wachache walioipotosha hii nchi kikwete mkapa mmearibu taiga kumpa mweu nchi
TUENDELEE KUMSOMA TUUU HALAFU UKIFIKA MWAKA WA TATU TUFANYE MAAMUZI MAGUMU KAMA ANAYOTAKA KUFANYA NEPI
 
Uko chuoni unaendelea na masomo halafu unaambiwa hatuajiri walimu wa sanaa wakati ndo masomo yako, utajisikiaje? Masomi yatatembea vizuri?
WEWE UTAJISIKIAJE KWA MFANO TU?
 
Tumenunua ndege sita kwa cash; tunajenga reli ya kisasa tumelipa trilion moja cash; pesa za ajira zimesaidia sana kutimiza haya malengo kama tulivyo elezea kwenye ilani yetu.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Watamaliza tu, ondoeni ofu.

Ila kuna sehemu zingine mtu anaweza kutafuta kazi, hata jwenye miradi yao kama ya reli etc.
 
Mkuu MWALLA, alishakuambia kwamba yeye anapoendesha lori hamjali anayeimba, aliyegeukia upande ule au huu na wala hamjali anayetazama kule lori liendako. Cha msingi ni lori kufika kule liendako bhaaaasi. Hivi bado ulikuwa hujamwelewa?
 
Back
Top Bottom