Mwaka huu mvua tabu

Mwaka huu mvua tabu

itula

Member
Joined
Apr 23, 2017
Posts
19
Reaction score
10
Kifupi huku kwetu mvua zimekua ni adimu tumepamda mahidi sasa yapata mwezi mmoja umeisha yapo chini ya aridhi hayajaota.. Nijuzeni huko mulipo hali ipo vipi?
 
Mkuu mvua sehemu nyiing hainyeshi ila kuanzia tarehe 20 ya december yawezekana ikanyesha kutoka na ufatiliaji wangu lakin
 
Mkuu itanyesha tu kwa kudra za Mungu ila nimepata nyepesinyesi majirani zetu wametuibia mawingu ila mlima wameshindwa.
 
Tuzidi kumuomba Mungu tusichoke maana isijekuwa amechukia kwa yanayofanywa ndani ya kisiwa cha amani.
 
Sisi kama serikali tunawataka muache kuharibu mazingira. Acheni kukata miti ovyo. Punguzeni matumizi ya kuni na mkaa.
 
mvua ni tatizo, hasa huku kwetu kanda ya ziwa 12, hatujapanda mazao mvua tizi labda tusubir rainfall
 
Hali ilikuwa tofauti sana mwaka jana kipindi hiki, mvua zilikuwa zinanyesha balaa. Huenda mwakani kukawa na uhaba wa chakula...

Kukiwa na uhaba wa msosi hali itazidi kuwa jiwe, just imagine mwaka huu msosi upo lakini hali ngumu, vipi msosi ukikosekana.
 
Thailand si wanatengenezanga!!!
Tumuombe mzee Lowasa atufanyie mpango
 
Uzuri msimu uliopita tulivuna sana kwa hiyo tuna chakula cha kutosha,Bei ya Mchele 1400 kilo December miaka mingine tungekuwa tuko 1500 / kg.
 
Back
Top Bottom