Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,873
Historia inajirudia katika maisha. Na mara nyingi watu hujisahau kirekebisha yale yaliyotokea kipindi cha nyuma.
Mwaka 1995 kulikuwa na ishindani mkubwa sana kwenye uchaguzi. Huku Mrema akipeperusha bendera ya NCCR Mageuzi.
Lakini baada ya hapo mwaka 2005 kikwete alikutana na ushindani hafifu kutoka kwa mbowe na lipumba.
Mwaka 2015 kumekuwa na ushindani mkali kutoka kwa mwenzetu Lowassa.
Basi ujilikane kuwa mwaka 2025 CCM itashinda kwa kishindo huku vyama vya ukawa vikipotea kabisa. Ndipo sasa mwaka huo zitto ataamua kugombea lakini atapata kira chache sana.
Mwaka 2035 CCM itashinda kwa kura chache sana.
Na ndipo mwaka 2055 chama cha maana cha upinzani kitaundwa na kitajielekeza katika sera nzuri.
Mwaka 2095 kutakuwa na ushindani mkali baina ya CCM na chama hicho cha upinzani CCM itapata 44% na chama cha upinzani kitapata 45% na ndipo mwaka 2095 mara ya kwanza chama cha upinzani kitashika dora.
Lakini kitadumu kwa miaka 5 tu. Mwaka 2100 CCM itachukua dora tena.