Mwaka 2015 nitahusika pale TABORA MJINI.

Matukuta Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
207
Reaction score
27
Mwaka 2015 ndio Uchaguzi Mkuu wa Tanzania(Udiwani,Ubunge na Urais) Mimi naenda Tabora Mjini ambapo ndio kwetu kuwania Ubunge wa tiketi ya CCM.

Kura za Maoni ndani ya Chama ndio zitakazonipa ridhaa ya kuwa candidate.
 
Unapoteza ela bure,bora uingie na gia ya UMD kuliko magamba
 
Mwaka 2015 ndio Uchaguzi Mkuu wa Tanzania(Udiwani,Ubunge na Urais) Mimi naenda Tabora Mjini ambapo ndio kwetu kuwania Ubunge wa tiketi ya CCM.

Kura za Maoni ndani ya Chama ndio zitakazonipa ridhaa ya kuwa candidate.
Mkuu, si vibaya tukianza kufahamiana!
Mimi pia nitakua huko kwa tiketi ya CDM, nafikiri nitakubwaga vibaya mno. Labda tu, ningependa kutumia fursa hii kukuasa USITHUBUTU kushindana nami, NITA KUTIMULIA VUMBI na utajiaibisha sana.
KARIBU KWA MCHUANO!!
 
Ndugu tuombeane heri,Afya na Uzima tele.
Uwezo wa kunishinda mimi huna!
 
Tutafahamiana muda ukifika!
 
Naomba niwe meneja wa kampeni zako kitengo cha Propaganda.....Mimi natosha kabisa kuwabwaga wapinzani bila hata ya Masada wa Mwigulu!
 
Usije ukawa Kibaraka wa Rage cz unaonekana una mapenzi na Simba!
 
CCM ndio Chama changu na siwezi kubadilisha chama kwa kuusaka Ubunge.
Naimani nitapita kwenye Kura za Maoni.

Sijui utakuwa mbunge gani hata kutetea hoja ndogo kama hii umeshindwa, wanaohama vyama nia si kuusaka ubunge bali kutafuta nafasi ya kuwasemea wananchi kwa uhuru na kusikika chukua hiyo kilaza wewe
 
Naomba niwe meneja wa kampeni zako kitengo cha Propaganda.....Mimi natosha kabisa kuwabwaga wapinzani bila hata ya Msaada wa Mwigulu!

Nitakua mtiifu na kuzingatia taaluma yangu ya propaganda na kamwe siwezi kukusaliti....mimi niachie wapinzani halafu wewe shughulika na jinsi gani utawapelekea wananchi maendeleo!
 
Sijui utakuwa mbunge gani hata kutetea hoja ndogo kama hii umeshindwa, wanaohama vyama nia si kuusaka ubunge bali kutafuta nafasi ya kuwasemea wananchi kwa uhuru na kusikika chukua hiyo kilaza wewe

Kuna hoja gani hapo?
Na ulijua nireply baada ya nini?
Vijana wa Babu utawajua!
 
Kuna hoja gani hapo?
Na ulijua nireply baada ya nini?
Vijana wa Babu utawajua!

Wewe ndo unataka kugombea ubunge? Rage tu ni hasara. Na wewe hasara zaidi unataka kugombea? Tabora itaendelea kuwa chini
 
Ndugu tuombeane heri,Afya na Uzima tele.
Uwezo wa kunishinda mimi huna!
Ha ha ha, sawa mkuu!
Lakini kwani Babu yako Rage ameonesha nia ya kutokitamani tena, hicho kiti kwa muhula wa pili?
Mimi najua kazi yangu 2015 itakuwa nyepesi sana, ya kumng'oa huyo bwana, ili akahudumie Simba yake vizuri.
 
Wewe ndo unataka kugombea ubunge? Rage tu ni hasara. Na wewe hasara zaidi unataka kugombea?

Nicas mimi na wewe tunafahamiana kupitia social media tu.
Lakini hiyo hasara unayoiona kwangu ndio itakayofanikisha mimi kuwa Mbunge.
#Nakukaribisha sana kwenye Team yang ya Ushindi.
 
Ha ha ha, sawa mkuu!
Lakini kwani Babu yako Rage ameonesha nia ya kutokitamani tena, hicho kiti kwa muhula wa pili?
Mimi najua kazi yangu 2015 itakuwa nyepesi sana, ya kumng'oa huyo bwana, ili akahudumie Simba yake vizuri.

Shauri yake agombee au asigombee lakini Demokrasia katika mchakatoi wa Kura za maoni itafanya kazi.
Hapa ndipo ninapoikubali CCM kupitia hatua za uteuzi.

Nakuonea huruma kwania Tabora Mjini itaendelea kuongozwa na Wabunge kutoka CCM!
 
Nicas mimi na wewe tunafahamiana kupitia social media tu.
Lakini hiyo hasara unayoiona kwangu ndio itakayofanikisha mimi kuwa Mbunge.
#Nakukaribisha sana kwenye Team yang ya Ushindi.

Udhaifu wako unaonekaoa hata kwenye maandishi unayoandika.. CCM mna jipya gani pale Tabora?
 
Shauri yake agombee au asigombee lakini Demokrasia katika mchakatoi wa Kura za maoni itafanya kazi.
Hapa ndipo ninapoikubali CCM kupitia hatua za uteuzi.

Nakuonea huruma kwania Tabora Mjini itaendelea kuongozwa na Wabunge kutoka CCM!

Kwa nini hamtaki Rage agombee? Inajulikana wazi kuwa Chadema ndo itamtoa Rage na CCM yake Tabora
 
Mwaka 2015 ndio Uchaguzi Mkuu wa Tanzania(Udiwani,Ubunge na Urais) Mimi naenda Tabora Mjini ambapo ndio kwetu kuwania Ubunge wa tiketi ya CCM.

Kura za Maoni ndani ya Chama ndio zitakazonipa ridhaa ya kuwa candidate.

ushindwe kwa jina la yesu! Senzi kabisa na CCM yako
 
Kwa nini hamtaki Rage agombee? Inajulikana wazi kuwa Chadema ndo itamtoa Rage na CCM yake Tabora

Nani kasema hatumtaki Rage agombee kwani kabla yake si alikuwepo Hayati Juma Kaboyonga ambapo Rage alishinda kura za maoni??
Ndugu yangu CCM ina utaratibu wake mnaweza mkachukua Fomu watu 100 lakini mshindi atakuwa ni mmoja tu kwenye Kura za maoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…