Tanzania Nchi Yetu Sote
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 529
- 905
Mchaga noma sana. kwenye mambo ya pesa hataki ujinga kabisa. Hapo alipiga hesabu kaona kwa siku anapaki gari lake kwa buku tuMWACHE MCHAGGA AITWE MCHAGGA
Jamaa mmoja toka kiboriloni alienda Benki na kuomba mkopo wa shilingi 200,000 ili asafiri kwenda Dar. Ofisa mikopo akamwambia lazima ajaze fomu fulani na awe na kitu cha kuweka dhamana. Mdau akajaza fomu kisha akakabidhi funguo za benzi yake aliyokuja nayo pamoja na nyaraka za umiliki wake kwa meneja. Ofisa mikopo akaiingiza gari kwenye yadi ya benki na kumpa mchagga laki mbili yake. Kilichomshangaza meneja wa benki ni kuwa benzi ile ina thamani ya 255,000,000 na kuwa iweje mwenye gari kama hii amekosa 200,000. Baada ya wiki 2 mchagga akarudi na kurejesha mkopo wote pamoja na riba ya shilingi 15,000. Afisa mikopo akafurahi lakini akamuuliza, inawezekanaje una gari la thamani hivi na ukahangaika kupata mkopo wa shilingi laki 2? Mchagga akamjibu, Ni wapi hapa Moshi utapata mahali salama kupaki gari yako kwa wiki mbili kwa kodi ya shilingi 15,000 tu?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]MWACHE MCHAGGA AITWE MCHAGGA

Hahahaha mbavu sina
Unafikiri wote walizaliwa zamani au wakijiunga zamani? Na mitandaoStory ya zamani sana
Ni story mkuu, mbona unaweka userious kwa story za vichekekesho it is just a fiction. Usiumize kichwaHakuna benki inatoa mkopo kwa utaratibu huo.Km gari ilikuwa dhamana, wanahitaji tu kadi ya gari na siyo gari wala funguo
Acha chuki weweWachaga na ujanja wote wamekimbia kuhakiki taarifa za mlipa kodi. Walitarajia wafanya biashara 28000 wangehakiki, ni 3000 waliohakiki na muda umeisha. Ujanja wao uko wapi?
Ha ha haMWACHE MCHAGGA AITWE MCHAGGA
Jamaa mmoja toka kiboriloni alienda Benki na kuomba mkopo wa shilingi 200,000 ili asafiri kwenda Dar. Ofisa mikopo akamwambia lazima ajaze fomu fulani na awe na kitu cha kuweka dhamana. Mdau akajaza fomu kisha akakabidhi funguo za benzi yake aliyokuja nayo pamoja na nyaraka za umiliki wake kwa meneja. Ofisa mikopo akaiingiza gari kwenye yadi ya benki na kumpa mchagga laki mbili yake. Kilichomshangaza meneja wa benki ni kuwa benzi ile ina thamani ya 255,000,000 na kuwa iweje mwenye gari kama hii amekosa 200,000. Baada ya wiki 2 mchagga akarudi na kurejesha mkopo wote pamoja na riba ya shilingi 15,000. Afisa mikopo akafurahi lakini akamuuliza, inawezekanaje una gari la thamani hivi na ukahangaika kupata mkopo wa shilingi laki 2? Mchagga akamjibu, Ni wapi hapa Moshi utapata mahali salama kupaki gari yako kwa wiki mbili kwa kodi ya shilingi 15,000 tu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]MWACHE MCHAGGA AITWE MCHAGGA

Tatizo unafikiria sana,muda mwingine acha akili irelax,vitu vingine ni kwa ajili ya kucheka tu,pasipo kujali uhalisiaHakuna benki inatoa mkopo kwa utaratibu huo.Km gari ilikuwa dhamana, wanahitaji tu kadi ya gari na siyo gari wala funguo
Hakuna benki inatoa mkopo kwa utaratibu huo.Km gari ilikuwa dhamana, wanahitaji tu kadi ya gari na siyo gari wala funguo