..Chadema wamemhakikishia Adv.Mwabukusi kwamba hawakulalamika kwa OCD kwamba nyimbo za chama chao zimepigwa ktk mkutano wa Mwabukusi na wanaharakati.
..Mwabukusi amesema hana tatizo lolote na Chadema na kwamba ana mahusiano mazuri nao na amewahi kufanya nao kazi nyingi kipindi cha nyuma.
..Ndio maana naendelea kusisitiza kwamba kuna jitihada za makusudi au kutokujua za kuwachonganisha Chadema na wanaharakati.
Siyo kwa tanzania, forgrt about mass reaction.....sahau kabisa. Pressure groups kama vyama vyenye nia ya dhati, watu binafsi, wanaweza kuleta mabadiliko. Hakuna aliye tayari kupigwa risasi hawa wananchi kwenye maandamano....
weka jina lako halisi hapa tuone umedhamiria..talalila za hapa JF/mitandaoni siwezi kuziamini! Be a verified userWewe kama hauko tayari Kwa mass action au kupigwa risasi si unskaa pembeni?
Tujuavyo sisi kina Mahlangu, Biko, Mandela, Tutu na wa namna hiyo wapo.
Mara nyingi tumesema wavumao baharini papa lakini na wengine wapo!
Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu
Huwezi, uko madarakani? Toka tuweke mwenye uwezo.
Tatizo liko wapi?
Zingatia:
Andiko bila rejea ni upuuzi mtupu!
weka jina lako halisi hapa tuone umedhamiria..talalila za hapa JF/mitandaoni siwezi kuziamini! Be a verified user
JokaKuu ndugu yenu huyu huku bado anang'aka.
View attachment 2778117
"Watu kama hawa ni wa hovyo wenye mchango mdogo sana kwenye taifa hili."
Alisikika jiwe akisisitiza jambo.
..yaani umekosa mtu wa maana kufikisha ujumbe wako mpaka umtumie huyo MUUAJI? Kwa kweli umeniudhi kwa kitendo hiki.
Humu JF hakutakupatia malengo yako wewe na mwabukusi! Hovyo ni wewe , weka jina lako halisi nitaona kuwa umedhamiria. Jeshi la watu 3 you may be being one of them, sidhani kama mtatoboa popote!Sidhni kama serikali itatikiswa na jeshi la watu 3! Ushirikiano na vyama vilivyopo kungelikuwa na Tija zaidi kuliko hii....JokaKuu ndugu yenu huyu huku bado anang'aka.
View attachment 2778117
"Watu kama hawa ni wa hovyo wenye mchango mdogo sana kwenye taifa hili."
Alisikika jiwe akisisitiza jambo.
Humu JF hakutakupatia malengo yako wewe na mwabukusi! Hovyo ni wewe , weka jina lako halisi nitaona kuwa umedhamiria. Jeshi la watu 3 you may be being one of them, sidhani kama mtatoboa popote!Sidhni kama serikali itatikiswa na jeshi la watu 3! Ushirikiano na vyama vilivyopo kungelikuwa na Tija zaidi kuliko hii....
Fukua picha zote weka hapo, makes no difference!
Tukumbushane, kati ya Dr Slaa na Mbowe ni nani nyoka alietung'ata ambaye hata ujani ukitugusa tunapaswa kuwa na hofu?Wahenga walisema, ukiumwa na nyoka , unamwogopa hata mjusi......meaing you have to be very catious and if possible abandon/achana na mtu kama huyo, pita mbali naye,maana hujui siku wala saa atakutumbukiza shomoni usitoke asilani/maisha!
Sasa km jeshi la watu watatu unadhani litashindwa. Mbona wewe unaamini jeshi la mtu mmoja "MBOWE" litafanikiwa?Humu JF hakutakupatia malengo yako wewe na mwabukusi! Hovyo ni wewe , weka jina lako halisi nitaona kuwa umedhamiria. Jeshi la watu 3 you may be being one of them, sidhani kama mtatoboa popote!Sidhni kama serikali itatikiswa na jeshi la watu 3! Ushirikiano na vyama vilivyopo kungelikuwa na Tija zaidi kuliko hii....
Fukua picha zote weka hapo, makes no difference!
Sasa km jeshi la watu watatu unadhani litashindwa. Mbona wewe unaamini jeshi la mtu mmoja "MBOWE" litafanikiwa?
Ila kaa ukijua wananchi wanafuata yeyote ambaye anaonekana ni mtetezi kwao.
Hata CHADEMA ilipata wafuasi baada ya kupambania hoja za wananchi.
Mkishupaza shingo na kuzidi kuungana na CCM hii iliyojaa ufisadi huu ndio utakuwa mwanzo wa mwisho wa CHADEMA.
Km ilivyokuwa NCCR, CUF