hahaaa uwiiiii baba Asharaf kaona mama ashraf kajiungaJF na yeye akaona kama noma na iwe noma na mie najiunga.
mama ashraf namjua ila baba ashraf ninahisi namjua lol.
hahaaa uwiiiii baba Asharaf kaona mama ashraf kajiungaJF na yeye akaona kama noma na iwe noma na mie najiunga.
mama ashraf namjua ila baba ashraf ninahisi namjua lol.
take it easy dear Baba Ashrat maana hiyo enheee inafanya nijihisi niko kwenye hatari yakusutwa.
Mwaya nahisi nilihisi kimakosa sikujui, mama ashratlicious tu ndo namjua hiyo hata mkinisuta mtakua mnanionea tu lakini namjua mama ashrat ni nani.