Mama Ashrat
Member
- Apr 29, 2012
- 88
- 98
Kama amecheat muhimu kuwa mwangalifu, unaweza pewa yasiyofaa!!Mama Ashirat hii ni kali na ya maana. Hata akikucheat mwafaka sio kumnyima unyumba maana yanazungumzika hayo. Kucheat katika mapenzi kunatokana na namna gani unampa nafasi ya kwenda kucheat!! Nimelipenda somo lako
Mkubali, mpende, ruhusu mwili na moyo wake uvutiwe nae to the maximum.
Mama Ashrat
Haya naona umakuja kwa speed kali pengo la lizzy lishazibika kwakwel
Hahahaha. . .ntajitahidi Bi nyakomba.LizzY karibu umetoka rumande dear, poleeeee sikunyingine usicheke mpka unainua miguu modes hawapendi
Mama
Ashrat this is wonderful!hakika mtu akiweza kumaintain haya
atadumu milele kwenye mahusiano yake..
Nb.inataka moyo kwa kweli sometimes unakuta mwenzio kakuudhi kwelikweli
hata tabasamu la kulazimisha halitoki lol..
Mama Ashrat this is wonderful!hakika mtu akiweza kumaintain haya atadumu milele kwenye mahusiano yake..
Nb.inataka moyo kwa kweli sometimes unakuta mwenzio kakuudhi kwelikweli hata tabasamu la kulazimisha halitoki lol..
Kama ilivyo kwa Baba na Mama Ashrat
what a kiss yaani hata kama kaniuzi akinibusu tu mama watoto basi mi hoi mbaya..
hii inanikumbusha mambo ya kiss zito toka kwa adii..
@EnnieNa ukishamzoesha ata-take it for granted,anakukosea halafu wala hafanyi jitihada za kusuluhisha anakunja nne anasubiri busu la hasira! Lol
Hivi inawezekana pia mtu ambaye uko naye kufa na kuzikana akawa ametoka kabisa kwenye moyo wako? Ikiwa hivyo kiafrika unafanya nini? Maana Ma Ashrat umegusia mtu akikutoka moyoni, kufanya ile kitu inakuwa ni adhabu.
Ndahani
Mkiwa ni kufa na kuzikana kweli ndio inakua hivi sasa, yani hata katikati ya ugomvi mnaweza mkajikuta mnacheka, mnafurahi na kupendana. Ila mahusiano mengi hayana hiyo, kukiwa na ugomvi ndo chakula kususiana, maneno kutupiana,kitandani kukimbiana n.k
Sasa hapo sijui wanakua wametoana moyoni kwa muda au wanakumbushana tu kwamba hamna aliyeukamata moyo wa mwenzie sawasawa.
Kutumiana aisee.Na maisha yetu yalivyo leo, watu wengi wanaangukia group gani? Separations au kuachana kabisa imekuwa kama kawaida tu. Au ndio watu kutotaka kuishi kwenye uhusiano unaofanana na adhabu adhabu vile!