Inabidi wakati mwingine Mkuu hebu fikiria kama huyu ni dada yako njemba imeshagegeda miaka minne kwa raha zake halafu leo inadai "mvuto umepungua" acha wengine wagome kutoa papuchi mpaka wafunge pingu za maisha. Na si ajabu katika miaka yote hiyo mine alikuwa akimpotezea muda wake tu huku akimdanganya "ngoja nijipange baby" kabla ya kufunga pingu za maisha.