Kajariwa hekima na busara.
Hapendi michezo ya kijinga hasa tabia za usaliti.
Mchapa kazi ila ana wivu sana.
Toka nimjue ni miaka minne sasa, achilia mbali fujo za hapa na hapa nathubutu kusema ni mwema.
Tatizo langu nililolipata naanza kuona mvuto wake unapungua.
Akiwa karibu yangu hasa nyakati za mambo yetu yale nahisi steem za mbali sana, tofauti na siku za awali.
Naomba nishauliwe jinsi ya kuimprove feeling zangu coz sipendi kumpoteza wala kumsariti.
uhalibifu1. Kajaliwa
2. Nishauriwe
3. Kumsaliti
Tumechoka sasa kuvumilia uharibifu wa lugha yetu tukufu.
Kajariwa hekima na busara.
Hapendi michezo ya kijinga hasa tabia za usaliti.
Mchapa kazi ila ana wivu sana.
Toka nimjue ni miaka minne sasa, achilia mbali fujo za hapa na hapa nathubutu kusema ni mwema.
Tatizo langu nililolipata naanza kuona mvuto wake unapungua.
Akiwa karibu yangu hasa nyakati za mambo yetu yale nahisi steem za mbali sana, tofauti na siku za awali.
Naomba nishauliwe jinsi ya kuimprove feeling zangu coz sipendi kumpoteza wala kumsaliti.
Wewe ni KE au ME?Kajariwa hekima na busara.
Hapendi michezo ya kijinga hasa tabia za usaliti.
Mchapa kazi ila ana wivu sana.
Toka nimjue ni miaka minne sasa, achilia mbali fujo za hapa na hapa nathubutu kusema ni mwema.
Tatizo langu nililolipata naanza kuona mvuto wake unapungua.
Akiwa karibu yangu hasa nyakati za mambo yetu yale nahisi steem za mbali sana, tofauti na siku za awali.
Naomba nishauliwe jinsi ya kuimprove feeling zangu coz sipendi kumpoteza wala kumsaliti.
Msamehe bhana sababu mchuchu wake hauna mvuto ndio maana ulimi wake umeteleza nafikiri anakula sana mlenda ndio sababu.1. Kajaliwa
2. Nishauriwe
3. Kumsaliti
Tumechoka sasa kuvumilia uharibifu wa lugha yetu tukufu.
Faza we mkali kinomaaaa.,.,,,yaani makavu laivu.Umeshamgegeda kwa miaka minne mfululizo leo unadai mvuto umepungua. Kajaliwa hekima na busara na pia ni mchapa kazi. Kitandani ni mzuri pia vinginevyo usimgegeda kwa miaka minne mfululizo. Hebu acha ujinga kajitambulishe kwao ili mfunge pingu za maisha.'
Faza we mkali kinomaaaa.,.,,,yaani makavu laivu.
Yaani umenena ukweli ulio ndani ya roho yangu kabisa,huyo jamaa ni MUHARIBIFU period.Inabidi wakati mwingine Mkuu hebu fikiria kama huyu ni dada yako njemba imeshagegeda miaka minne kwa raha zake halafu leo inadai "mvuto umepungua" acha wengine wagome kutoa papuchi mpaka wafunge pingu za maisha. Na si ajabu katika miaka yote hiyo mine alikuwa akimpotezea muda wake tu huku akimdanganya "ngoja nijipange baby" kabla ya kufunga pingu za maisha.