Che Machemba
Member
- May 17, 2019
- 12
- 5
Zinaendelea wapi? Au unafikiri kila mtu anaishi mtaani kwenu?
Zinanyesha nchi nzima?Zinaendelea kunyesha
Zinanyesha nchi nzima?
Hainyeshi... Inakunya.Zinaendelea kunyesha
Hainyeshi... Inakunya.
Kama unabisha isifie uone
Ukanda wa pwani karibu woteZinanyesha nchi nzima?
Nchi nzima isipokuwa Kolomije. Kama kwenu hainyeshi basi ujue mna vinasaba vya Kolomije.Zinanyesha nchi nzima?
Hahaaa basi nitakuwa mkolomijeNchi nzima isipokuwa Kolomije. Kama kwenu hainyeshi basi ujue mna vinasaba vya Kolomije.
We isifie uone kimba lakeKwa hiyo inajikinya kimba?
We isifie uone kimba lake
We mgogo. Kama uko Dodoma kusiko na mvua nyamaza. Acha wenye neema wajadili yaoZinaendelea wapi? Au unafikiri kila mtu anaishi mtaani kwenu?
Mi nasubiria wale wataalam wetu wabobezi watakavyotuambia namna upepo kutoka misitu ya kongo ilivobadilisha mwelekeo na kuyashambulia mawimbi katika bahari ya Hindi na kupelekea mwenendo wa kasi ya kimbunga cha joanah kubadili mwelekeo kutoka Sudan ya Kusini hadi Mashariki ya Tanzania hasa maeneo Ya Mkwajuni na Mbagala Kuu...
Hii ndio maana hali ya hewa ikabadilika ghafla toka ukame hadi mvua za masika
Sikuachi mpaka unitunuku naniliu uliyoniahidi....ππππ
We mzee hebu niacheee
Sikuachi mpaka unitunuku naniliu uliyoniahidi....
Waambie basi jamaa wamwage material mengi nifanye tafsiri ya harakaharaka... nimechoka kusubiri utunukishwaji ujue...Vigezo na masharti ya kusummarize kuzingatiwa
Subiri tumalize usaili kama utakuwa umepita lazima nikutunuku
Kabla ya jumatatu tunaweza kuwa tumemalizaWaambie basi jamaa wamwage material mengi nifanye tafsiri ya harakaharaka... nimechoka kusubiri utunukishwaji ujue...
Basi sawa....Kabla ya jumatatu tunaweza kuwa tumemaliza
Location ya usaili nitakutegemea wewe