Mvua zinanyesha, mawaziri wakilimo hawaonekani mashambani

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,062
9,988
Hawa jamaa sijui wamejikinga mvua? Hatuwaoni wakikagua mashamba, hatuwaoni wakisimamia usambazaji wa pembejeo. Wala hatujui Kama mbolea ya minjingu imeshafika mashambani. Ngoja korosho zivunwe utasikia vikao vya washika dau vimeanza. Utasikia Hali ya chakula nchini iko vizuri.

Huyu mtu hata shamba Hana ujanja ujanja tu.

Bora mwakani Sumri awe waziri wa kilimo.
 
Kwani ndio wanalima wewe naye kituko kweli

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
walipaswa watueleze mvua zimefikia mm ngapi hadi sasa na projection ni mm ngapi hivyo tulime kwanza mazao gani, mfano kwa sasa sio sahihi kulima alizeti lakini mahindi ndio msimu wake, vituo vya utafiti wa kilimo kama naliendele walipaswa kutuambia mbolea gani itafaa kwa kilimo, zipo skimu za umwagiliaji zilizo sombwa na mvua tunazi repair vipi?
 
Back
Top Bottom