mkata-mkaa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 296
- 181
Wakuu habar zenu...naomba kujuzwa hizi mvua zinakata lini...
Watalam wa hali ya hewa naombeni data
Watalam wa hali ya hewa naombeni data
Wakuu habar zenu...naomba kujuzwa hizi mvua zinakata lini...
Watalam wa hali ya hewa naombeni data
Ngoja tusubil mkuuHao wataalam wa hali ya hewa, huwa wanachoongeaga sicho kinachotokea, hvyo tumwombe Mungu ajibu km ndoto
Wakuu habar zenu...naomba kujuzwa hizi mvua zinakata lini...
Watalam wa hali ya hewa naombeni data
Watu wa makao makuu ya nchi Dodoma njooni huku mtujibu sisi watu wa mkoani DarWakuu habar zenu...naomba kujuzwa hizi mvua zinakata lini...
Watalam wa hali ya hewa naombeni data
Nilisikia jumapili ya jana ila naona hadi muda huu inanyesha