Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 7,621
- 16,373
Bahi sio pakame kiasi Cha kukosa miti, miti ipo kiasi chake, lakini pia mvua ya Leo imebunja miti kibao.
Watakua Wapinzani hao si unajua hawapendi maendeleo ya Serekali ya awamu ya TanoHapa naandika baada ya muda mchache baada ya kukatika kwa mvua kubwa na yenye upepo mkali.
Sijatoka kutembea kuona mtaani hali ikoje lakini nikiwa nyumbani naweza kuona madhara makubwa yaliyojitokeza kutokana na mvua hii, makazi yameharibiwa sana, miundombinu ya umeme iko hoi kabisa.
Kwa taarifa nilizopata Ni kuwa huko mtaani nyumba zimepunyupiwa hadi sio poa. Na kulingana na asili ya Dodoma hatujazoea mvua kubwa kiasi hiki basi hata makazi yetu siyo imara kivile kwa hiyo kwa sasa wingu likitanda tu basi watu wanajawa na taharuki.
Kwenye mashamba nako hali sio shwari, watu hawalima Sana kutokana na mvua, huko kwenye mashamba ya mpunga mazao yanazolewa na maji.
Faida pekee tunayopata ni kuokota visamaki kwenye maji yanayopita majumbani mwetu.
Poleni sana, naona hata wewe umeipata freshi. Paa lako limekuvujia au maji yatakua yameingia ndani kwako umechota mpaka basi Mgongo wa watu.Bahi sio pakame kiasi Cha kukosa miti, miti ipo kiasi chake, lakini pia mvua ya Leo imebunja miti kibao.
KWAHIYO
Shukrani ziiendee Serikali ya awamu ya tano kuwaletea Watu wa Bahi mvua kubwa kwa kipindi hikiππHapa naandika baada ya muda mchache baada ya kukatika kwa mvua kubwa na yenye upepo mkali.
Sijatoka kutembea kuona mtaani hali ikoje lakini nikiwa nyumbani naweza kuona madhara makubwa yaliyojitokeza kutokana na mvua hii, makazi yameharibiwa sana, miundombinu ya umeme iko hoi kabisa.
Kwa taarifa nilizopata Ni kuwa huko mtaani nyumba zimepunyupiwa hadi sio poa. Na kulingana na asili ya Dodoma hatujazoea mvua kubwa kiasi hiki basi hata makazi yetu siyo imara kivile kwa hiyo kwa sasa wingu likitanda tu basi watu wanajawa na taharuki.
Kwenye mashamba nako hali sio shwari, watu hawalima Sana kutokana na mvua, huko kwenye mashamba ya mpunga mazao yanazolewa na maji.
Faida pekee tunayopata ni kuokota visamaki kwenye maji yanayopita majumbani mwetu.
Mitomaso banaWeka picha
πππ Bwana bwana, kwa ile show ya juzi tulisalimika ila tukiona wingu limetanda na hofu zinatanda pia.Poleni sana, naona hata wewe umeipata freshi. Paa lako limekuvujia au maji yatakua yameingia ndani kwako umechota mpaka basi Mgongo wa watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, tutapishe vyoo vya shimoππππWanyambwa wa Bahi sasa tapisheni vyoo fursa hiyo! Huku mbagala tunatambika kuomba mafuriko vyoo vimejaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa bwana Oni Sigala, nimekupata. Ila na wewe jitunze kuandika vizuri. Siyo 'hiko' ni 'huko'.Dogo unaposema mvua ya mwaka huu utafikiri tupo December wakati ndio wiki ya pili ya mwaka.. Atleast Ungesema mvua ya January hii.
Hiko huko mashuleni mlienda somea ujingaaa!!!