Mvua ya mwaka huu huku (Bahi) Dodoma Mungu atutie nguvu. Hali ni ya hatari

Stephen Chelu

Verified Member
Joined
Oct 31, 2017
Messages
2,287
Points
2,000

Stephen Chelu

Verified Member
Joined Oct 31, 2017
2,287 2,000
Hapa naandika baada ya muda mchache baada ya kukatika kwa mvua kubwa na yenye upepo mkali.

Sijatoka kutembea kuona mtaani hali ikoje lakini nikiwa nyumbani naweza kuona madhara makubwa yaliyojitokeza kutokana na mvua hii, makazi yameharibiwa sana, miundombinu ya umeme iko hoi kabisa.

Kwa taarifa nilizopata Ni kuwa huko mtaani nyumba zimepunyupiwa hadi sio poa. Na kulingana na asili ya Dodoma hatujazoea mvua kubwa kiasi hiki basi hata makazi yetu siyo imara kivile kwa hiyo kwa sasa wingu likitanda tu basi watu wanajawa na taharuki.

Kwenye mashamba nako hali sio shwari, watu hawalima Sana kutokana na mvua, huko kwenye mashamba ya mpunga mazao yanazolewa na maji.

Faida pekee tunayopata ni kuokota visamaki kwenye maji yanayopita majumbani mwetu.
 
Jacobo Zuma

Member
Joined
May 26, 2019
Messages
64
Points
125

Jacobo Zuma

Member
Joined May 26, 2019
64 125
Hapa naandika baada ya muda mchache baada ya kukatika kwa mvua kubwa na yenye upepo mkali.

Sijatoka kutembea kuona mtaani hali ikoje lakini nikiwa nyumbani naweza kuona madhara makubwa yaliyojitokeza kutokana na mvua hii, makazi yameharibiwa sana, miundombinu ya umeme iko hoi kabisa.

Kwa taarifa nilizopata Ni kuwa huko mtaani nyumba zimepunyupiwa hadi sio poa. Na kulingana na asili ya Dodoma hatujazoea mvua kubwa kiasi hiki basi hata makazi yetu siyo imara kivile kwa hiyo kwa sasa wingu likitanda tu basi watu wanajawa na taharuki.

Kwenye mashamba nako hali sio shwari, watu hawalima Sana kutokana na mvua, huko kwenye mashamba ya mpunga mazao yanazolewa na maji.

Faida pekee tunayopata ni kuokota visamaki kwenye maji yanayopita majumbani mwetu.
Watakua Wapinzani hao si unajua hawapendi maendeleo ya Serekali ya awamu ya Tano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dusabimana

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2019
Messages
211
Points
250

Dusabimana

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2019
211 250
Hapa naandika baada ya muda mchache baada ya kukatika kwa mvua kubwa na yenye upepo mkali.

Sijatoka kutembea kuona mtaani hali ikoje lakini nikiwa nyumbani naweza kuona madhara makubwa yaliyojitokeza kutokana na mvua hii, makazi yameharibiwa sana, miundombinu ya umeme iko hoi kabisa.

Kwa taarifa nilizopata Ni kuwa huko mtaani nyumba zimepunyupiwa hadi sio poa. Na kulingana na asili ya Dodoma hatujazoea mvua kubwa kiasi hiki basi hata makazi yetu siyo imara kivile kwa hiyo kwa sasa wingu likitanda tu basi watu wanajawa na taharuki.

Kwenye mashamba nako hali sio shwari, watu hawalima Sana kutokana na mvua, huko kwenye mashamba ya mpunga mazao yanazolewa na maji.

Faida pekee tunayopata ni kuokota visamaki kwenye maji yanayopita majumbani mwetu.
Shukrani ziiendee Serikali ya awamu ya tano kuwaletea Watu wa Bahi mvua kubwa kwa kipindi hiki😁😜
 
Torch

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Messages
1,122
Points
2,000

Torch

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2013
1,122 2,000
Dogo unaposema mvua ya mwaka huu utafikiri tupo December wakati ndio wiki ya pili ya mwaka.. Atleast Ungesema mvua ya January hii.

Hivi huko mashuleni mlienda somea ujingaaa!!!
 
Stephen Chelu

Verified Member
Joined
Oct 31, 2017
Messages
2,287
Points
2,000

Stephen Chelu

Verified Member
Joined Oct 31, 2017
2,287 2,000
Dogo unaposema mvua ya mwaka huu utafikiri tupo December wakati ndio wiki ya pili ya mwaka.. Atleast Ungesema mvua ya January hii.

Hiko huko mashuleni mlienda somea ujingaaa!!!
Sawa bwana Oni Sigala, nimekupata. Ila na wewe jitunze kuandika vizuri. Siyo 'hiko' ni 'huko'.
 
Forum statistics

Threads 1,390,596
Members 528,215
Posts 34,055,972
Top