Dr,biashara za watu utafukuzwa ugenini.
ila seriously sayansi inatuchanganya. Uliwasoma watafiti wa mambo ya kale walipokanusha kuhusiana na lifestyle diseases? Kuwa ancestors wetu nao walikufa kwa maradhi ya moyo, sukari, presha na kansa! Sikuwaelewa.