Mvimbiano wa Nyati kwa Simba

Kulwanotes

Member
Joined
Nov 3, 2021
Posts
22
Reaction score
55
Kwa wapenzi wa masuala ya wanyama na uhifadhi.

Moja ya kanuni kuu ya Simba katika kumla Nyati, anahitaji awe pekee yake. Wakiwa kundi na wakavimba kwa umoja wao, simba hamli nyati. Wanaishia kurushiana miguu tu. Kwenye video hii, yaelezwa msuguano wa simba na Nyati ulitumia takribani dakika 30, na simba hakupata kitu.

Kama wasemwavyo waethiopia, Buibui wakiungana na kutengeneza utando kwa umoja, wanaweza mnasa hadi simba. —UMOJA.

🎥 Nat Geo.
Your browser is not able to display this video.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…