Mvi za ujanani zimekuwa kero

Yaani sijui ikoje..wenye hizi nywele nyeupe hawazitaki lakini wasiokuwa nazo wanazitaka..mfano wasanii wa muziki naona wengi wanajipaka weupe kwenye nywele zao
 
Pichaa

Screenshot_20220516-224441~2.png

Screenshot_20220516-224319~2.png

Screenshot_20220516-223546~2.png

Screenshot_20220516-224319~2.png

Screenshot_20220516-223351~2.png
 
Yaani sijui ikoje..wenye hizi nywele nyeupe hawazitaki lakini wasiokuwa nazo wanazitaka..mfano wasanii wa muziki naona wengi wanajipaka weupe kwenye nywele zao
Umenena vyema
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Wakati ni ukuta, mimi nnayo nywele moja tu ambayo ni mvi sijui ina mpango gani ipo muda mrefu sana.
 
Kitunguu swaumu kinauwezo wa kuondoa mvi zako kichwa na kubaki na nywele nyeusi kama wengi wanavyopenda.

Mvi huwa ni dalili kubwa kuwa unaanza kuzeeka ingawa wapo ambao huwa na mvi za kurithi kwani hata wakiwa na umri mdogo huzipata mvi hizo.

Wengi wanaochukia mvi ni wale ambao huwajia mapema kabla ya uzee sasa ili kuepuka mvi hizo ndio nakuelekeza cha kufanya.

Jinsi ya kuondoa mvi;
Chukua kitunguu swaumu menya punje tatu (unywe na maji asubuhi, mchana na usiku) kwa siku unatakiwa kumeza vipunje 9. Fanya hivyo kwa muda wa miezi mitatu mpaka minne mvi zote zitaondoka.
 
Research yako ulifanyika wapi mkuu na ukubwa wa sampuli upoje?
 
Back
Top Bottom