Haka kajamaa ndiyo kapiganaji halisi ka mlala hoi na hakuanza leo, tatizo letu wabongo wepesi sana kusahau, wakati wake wizara ya mambo ya ndani palikuwa panafurika watu utakiri upo Muhimbili, waliokuwa wananyimwa haki zao, huyu mzee, ndio alikuwa kimbilio lao, Dar ilitakata ndani ya two weeks pamoja na kuwa maam Chips alimjia juu, Kariakooo palipendeza, majambawazi yalituliza ball, mafisadi ndani na nje ya CCM yalipata kalinye kalinye, lakini leo tunamkejeri. MAY BE kachoka ile mbaya kwa sababu hakuiba au aliiba kiduchu, uzarendo umemponza. angejua angepiga PORORO la nguvu then akajilia kimya kimya...hatutakiwi kumvunja moyo huyu kamanda, maana watu wa namna hii wachache sana africa...