Msaada: Muwasho mikononi hadi kupelekea malengelenge

gapxo

Senior Member
Jun 7, 2017
130
72
Naomba ushauri wanajukwaa, Mikono yangu usiku inawasha sana na kutoa malengelenge. Ni ugonjwa gani na nitumie dawa gani ? Nimepima damu na mkojo nipo ok

Natanguliza shukrani
 
Naomba ushauri mikono yngu usku inawasha sana na kutoa malengelenge. Ni mgonjwa gani na nitumie sawa gani ? Nimetuma dam na mkojo nipo ok
Tafuta Utomvu wa Mshubiri uwe unajipaka sehemu yenye huo muwasho na malengelenge utapona.

MSHUBIRI ALOE VERA PLANT.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom