Original wamaanisha nini? Maana original naamini ni halisi ambayo imetengenezwa kiwanda A bila kujali brand. Fake imetengenezwa na kiwanda B ila akadanganya kwamba imetengenezwa na kiwanda A. Sasa wewe wataka original brand? u flash yoyote hata isiyo na jina kubwa lakini imetoka kwenye kiwanda halisi? Au wataka yoyote iliyo branded...