Muuza mafriji na mafriza

billz949

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
311
Reaction score
73
Nahitaji mawasiliano ya mtu anaedili na kuuza na kununua mafriji tufanye biashara......nitafute kwa 0656497469 ama weka namba yako hapa nikutafute
 
Nahitaji mawasiliano ya mtu anaedili na kuuza na kununua mafriji tufanye biashara......nitafute kwa 0656497469 ama weka namba yako hapa nikutafute

Mimi nauza mafriji na mafriza nina contena zima kutoka UK, nategemea kutoa wiki ijayo zanzibar. Tuwasiliane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…