Muuza madafu: Mimi mwenyewe nilipomuona yule Komandoo nikagundua nimefanana naye, ila Siyo Mimi japo nacheza Kareti na Boxing!

Na ni ngumu sana Hata Baadhi ya Wacheza Karate kuzungusha huwa hawawezi
So weather ni yule commando au sio...

Ni hakika Jamaa alikuwa Ikulu kuimarisha usalama.

Anasema history yake ni alikuwa mlinzi huko mwanza, huyo aliyekuwa anachukua wauza madafu why aliweza kupinpoint kuwa Jamaa timamu wa mwili na mzoefu kwenye ulinzi
 
Yule ni Komando na sio Tu Komando ni Mkufunzi wa makomando upande wa Infantry ndo maana ana wings Begani
 
Na humu wapo kibao.....hata muuza madafu yumo huku nae anachangia uzi bin uzi
 
mikono inakuwa kama chuma hakuna ubaunsa baunsa ukipigwa ngumi ni sawa na Nondo au Mkuki watu wa Mashangalimaz na shufwani watu wa Kurasini TILGT MOTOOO
kwa tuliopitia martial art, usijeona mtu ana minyamanyama ukadhani ana nguvu, art ya kupigana ina maeneo muhimu ya kupiga, ambayo hata ukiwa na minyama namna gani ya gym, ukipigwa hapo lazima ukae chini, na haihitaji sana uwe na minyama, cha muhimu uwe na mwili flexible na misuli iliyokula mazoezi ikawa migumu. basi. hapa naongea na watu wazima waliopitia mafunzo, sihamasishi martial arts za mtaani huko kuumiza wenzenu. kwa mwenye akili tu ameshaelewa huyo dogo asingeuza madafu mbele ya Rais ambaye watu wanatafuta hata kuwa karibu naye tu hawapati nafasi, sio kitu cha kawaida.
 
Uko sahihi mkuu...Kuna mmoja kwenye kila miradi ya barabara yumo...anasotea kazi ati kwamba yeye ni operator...Tinde alikuwepo...Sumbawanga alikuwepo..Songea alikuwepo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…