PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,516
- 13,264
unazngua fala ww unashindwa kutofautisha thread hata ivo kashapati
kna na ujinga wko
Mkuu kama hizi shutuma zilizoletwa hapa ni za kweli juu yako hebu badilika sio poa.hii haikuhusu matatzo unayo ww shwain
@odamae umeona comment hii dada angu? Cc: odamaeHuyu jamaa anawanyanyasa sana wafanyakazi, alileta tangazo humu mwaka uliopita mm nilikuwa na ndugu yangu nikamwambia aende, lakini alimnyanyasa sana, yeye ni muislamu, na mdogo huyo wa kike ni mkristo, yaani mdogo wangu alikuwa anafanyakazi masaa 12, Siku saba za wiki, hamna hata siku moja ya kumpuzika, mshahara 100,000! Mpaka mdogo wangu hakumaliza hata mwezi, na kuna mambo mengi sana pia ambayo alinieleza, maana huyo mdogo wangu kaenda huko Majirani wanamwambia huyo boss hakaagi na mfanyakazi!!
Jamani tulio na wafanyakazi tusiwanyanyase basi tuwachukulie kama wadogo zetu!!! Mpaka chakula mnamtenga mwenzio, ni jambo la aibu sana, haya mambo nayasikia uarabuni huko, lakini mpaka huku bongo huwezi aamini mambo haya yapo!!!
Yafaa sana ashunghulikiwe kwa mujibu wa sheria ya kazi. Mnyanyasaji huyu. Kama wema ulivyo ni mbegu hata ubaya ni mbegu pia lazima UVUNE hata kama sio leo hata Kesho Allah HaziakiwiSasa una shindwa Nini kuweka taarifa zake zote za kipumbavu. Nyie ndio mnalea upuuzi halafu mnaanza kulialia.
Weka kila kitu hapa. Serikali ione maana namba zake za simu ziko humu na Kuna watu wengi wa serikali wanapita humu.
Kwa comment hii wew mwajiri una matatizo sanaunazngua fala ww unashindwa kutofautisha thread hata ivo kashapati
kna na ujinga wko
Huyu tutamripot idara ya kazi LindiKwa comment hii wew mwajiri una matatizo sana
Ukiwa na matatizo siyo rahisi kujijua, je unaamini kuwa una matatizo? Jibu lako ndiyo msingi wa hii comment.nadhan ww ndo mwenye mattzo