Muungwana Safarini Tena!

-Utadhani anashindana na ankal Michuzi kwenye matukio

Rais wa matukio,lol
 
Duh jamaa atatufilisi. Whats the big deal? Kila mara safari mbona hakuna mabadiliko!! Mbona hakuna misamaha ya kodi, No new investors, No new ideas labda ndizo anatafuta. May be ameenda shooping ya kampeni.
 
Wenye data tunaomba ili tujuwe nani zaidi between these two Prez'.

All in all wa kwetu safari anazipenda kinoma. Mimi naona kama huwa anakuja Dar kubadilisha suti tu.

Nasikia wahindi huwa wanaamini kuwa mtu akifa anazaliwa kama kiumbe mwingine. Sasa nafikiri wa kwetu itabidi awe butterfly ili awe anaruka kama apendavyo.
 
Ukijua gharama za safari utazimia. Kuna jamaa yangu anafanya protocol department pale mambo ya nje aliwahi kuniambia kuwa kuna wakati muungwana alitumia zaidi ya sh. Billioni mbili katika safari moja ya us. Upo hao?
 
2010...safari 2 billions.....>>>> 2023....bei gani? Halafu mleta post hii toka 2008 ana post nne tu! Hii hatari? Au alizusha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…