Muungano wa mazingaombwe Tz

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2021
Posts
3,211
Reaction score
3,619
Katika awamu hii ya sita ya uongozi wa Tz, Wazanzibar wamejikuta wana marais wawili huku Watanganyika wakiwa watupu.

Hata Makamu wa Rais wa Tz hakuwahi kuchaguliwa kwa kura na Watanganyika.

Ni kiongozi wa kitaifa anayetokana na uchaguzi lakini ambaye hakuchaguliwa.

Wazanzibar wana marais 2 Watanganyika je?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
distraction from the real issues.muungano ghafla umekuwa na shida miaka hii.? unadhani waZanzibar wanajisikiaje raisi wao kila siku anachaguliwa na "wagogo" Dodoma kilomita zaidi ya 400 kutoka kwao?

we have a common enemy with them nao ni kile chama
 
Tatizo sio mzanzibar, tatizo ni ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…