Mdude_Nyagali
Member
- Dec 11, 2022
- 84
- 1,494
Nakipongeza sana hiyo ndio TUME HURUNdugu wanajukwaa. Nimewaletea maoni yangu juu ya Tume Huru ya Uchaguzi inavyopaswa kuwa. Hapa chini nime - Upload pdf ambayo kila mmoja anaweza kupitia. Kwa machache nimependekeza kama ifuatavyo.
1. Wajumbe/Makamishina wa Tume Huru ya Uchaguzi wawe 12 tu.
2. Kwamba wajumbe/Makamishina hawa 12 watokane na Vyama vya siasa, tasisi za dini na asasi za kiraia.
3. Kwamba Wajumbe/Makamishina wakishapatikana watakutana na kufanya kikao cha kumteuwa Mwenyekiti na Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi miongoni mwao.
4. Kwamba nafasi za wasimamizi wa Uchaguzi ambazo kwa sasa ni wakurugenzi wa halmashauri zitangazwe ili kuwapa wenye sifa kutuma maombi yao. Kwamba watakaohusika kuwafanyia usaili wasimamizi wa Uchaguzi ni Mwenyekiti, Mkurugenzi pamoja na wajumbe/Makamishina wa uchaguzi waliopatikana kama nilivyoeleza hapo juu.
5. Kwamba watumishi wa Tume Huru ya Uchaguzi waajiriwe na iwe marufuku kuwateuwa vyeo vingine mpaka watakapomaliza muda wao wa utumishi katika tume hiyo.
6. Ndani ya muundo huru nimeanisha utendaji wa tume, uhuru wake na uwajibikaji wake.
Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment 2861673
Kipi bora sasa?Hata kwenye vyama vyenu na asasi za kiraia, kitengo wana watu wao kitambo sana, mkipendekeza majina toka vyama vya siasa na taasisi za kiraia, mnakuta mmependekeza watu wa kitengo tu. Mama atakuwa amekaa paleee anawacheka kwa jino pembe kwa kumletea watu wake mkidhani ni wenu
Je hawa makamishina watakuwa responsible wapi wakati wa kutimiza majukumu yao. Je ni ofisi ya Rais, Mahakama Kuu ama Bunge ?1. Wajumbe/Makamishina wa Tume Huru ya Uchaguzi wawe 12 tu.
2. Kwamba wajumbe/Makamishina hawa 12 watokane na Vyama vya siasa, tasisi za dini na asasi za kiraia.
3. Kwamba Wajumbe/Makamishina wakishapatikana watakutana na kufanya kikao cha kumteuwa Mwenyekiti na Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi miongoni mwao.
ni vigumu mno kupata TUME HURU ya uchaguzi bila kuifumua katiba yetu. Je mamlaka ya huyo CEO yatakuwaje kikatiba?Kuboresha,nafasi ya Kamishna ambae atakuwa ndio CEO ,hii ITANGAZWE na mwenye SIFA ndio ateuliwe na hawa wajumbe 12,na mchakato wake uwe wa WAZI ikiwezekana uwe mubashara kabisa..awe mtu shababi kitaalamu,kimaadili,kiuzoefu..na awe anawezafukuzwa na TUME,akiboronga
Nami naunga mkono hoja yako,KATIBA MPYA iliyo BORA kwanzani vigumu mno kupata TUME HURU ya uchaguzi bila kuifumua katiba yetu. Je mamlaka ya huyo CEO yatakuwaje kikatiba?
Kama yatabakia kama yalivyoanishwa kwenye katiba hii, sahau kupata uchaguzi huru na haki.
Angalau kidogoo umeeleweka kwamba mchakato wa kuwapata hao wajumbe 12 uwe wa wazi!!!!Kuboresha,nafasi ya Kamishna ambae atakuwa ndio CEO ,hii ITANGAZWE na mwenye SIFA ndio ateuliwe na hawa wajumbe 12,na mchakato wake uwe wa WAZI ikiwezekana uwe mubashara kabisa..awe mtu shababi kitaalamu,kimaadili,kiuzoefu..na awe anawezafukuzwa na TUME,akiboronga
HajuiJe hawa makamishina watakuwa responsible wapi wakati wa kutimiza majukumu yao. Je ni ofisi ya Rais, Mahakama Kuu ama Bunge ?
Makamishina watokane na ajira za kawaida, wasitokane na vyama au taasisi yoyote ambayo inaweza ikawapa maelekezo.Ndugu wanajukwaa. Nimewaletea maoni yangu juu ya Tume Huru ya Uchaguzi inavyopaswa kuwa. Hapa chini nime - Upload pdf ambayo kila mmoja anaweza kupitia. Kwa machache nimependekeza kama ifuatavyo.
1. Wajumbe/Makamishina wa Tume Huru ya Uchaguzi wawe 12 tu.
2. Kwamba wajumbe/Makamishina hawa 12 watokane na Vyama vya siasa, tasisi za dini na asasi za kiraia.
3. Kwamba Wajumbe/Makamishina wakishapatikana watakutana na kufanya kikao cha kumteuwa Mwenyekiti na Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi miongoni mwao.
4. Kwamba nafasi za wasimamizi wa Uchaguzi ambazo kwa sasa ni wakurugenzi wa halmashauri zitangazwe ili kuwapa wenye sifa kutuma maombi yao. Kwamba watakaohusika kuwafanyia usaili wasimamizi wa Uchaguzi ni Mwenyekiti, Mkurugenzi pamoja na wajumbe/Makamishina wa uchaguzi waliopatikana kama nilivyoeleza hapo juu.
5. Kwamba watumishi wa Tume Huru ya Uchaguzi waajiriwe na iwe marufuku kuwateuwa vyeo vingine mpaka watakapomaliza muda wao wa utumishi katika tume hiyo.
6. Ndani ya muundo huru nimeanisha utendaji wa tume, uhuru wake na uwajibikaji wake.
Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.View attachment 2861673
Swali zuri. Maana haiwezekani Kikundi tu cha watu kidichowajibika kwenye mamlaka yoyote kipewe djamaba kubwa namna hiyo.Je hawa makamishina watakuwa responsible wapi wakati wa kutimiza majukumu yao. Je ni ofisi ya Rais, Mahakama Kuu ama Bunge ?
Tanzania kuna mihimili mitatu, sasa tunapata muhimili wa 5. Dr Assad alitaka kuanzisha muhimili wa 4 akashindwa. Tume ya Uchaguzi ni chombo cha serkali kiko chini ya Rais naye kakipangia Wizara, ni TAMISEMI. Kuna taasisi nyingi mno - Benki Kuu, TRA, TPDF, TAKUKURU, TANESCO, IFM, nk, nyingi tu-mbona hazijaomba ziwe muhimili?Ndugu wanajukwaa. Nimewaletea maoni yangu juu ya Tume Huru ya Uchaguzi inavyopaswa kuwa. Hapa chini nime - Upload pdf ambayo kila mmoja anaweza kupitia. Kwa machache nimependekeza kama ifuatavyo.