K kifombocheza Member Joined Nov 1, 2015 Posts 97 Reaction score 28 Sep 13, 2016 #1 Je, una wazo ambalo linaweza kuboresha muundo wa elimu na inavyotolewa hivyo kuleta athari chanya kwa jamii yako na nchi yako kwa ujumla? Toa mchango wako.
Je, una wazo ambalo linaweza kuboresha muundo wa elimu na inavyotolewa hivyo kuleta athari chanya kwa jamii yako na nchi yako kwa ujumla? Toa mchango wako.
WA-UKENYENGE JF-Expert Member Joined Oct 1, 2011 Posts 2,918 Reaction score 1,236 Sep 13, 2016 #2 Leta kwanza hiyo proposed structure au iliyopo ili tupate pa kuanzia!! Hivyo ulivyoweka utatufanya tutoe bila kuwa na mwelekeo wa nini utakitaka!!
Leta kwanza hiyo proposed structure au iliyopo ili tupate pa kuanzia!! Hivyo ulivyoweka utatufanya tutoe bila kuwa na mwelekeo wa nini utakitaka!!