Muuguzi amchoma sindano ya usingizi binti aliyekuwa akimuuguza mama na kisha kumbaka

Nadhani kichaa hapo ni yule aliemhamisha huyo muuguzi huku akijua alishafanya kosa la kinyama,Na safari hii pia wachimbue kujua kwanini alihamishwa kwa tukio la kwanza na sio kuchukuliwa hatua
 


Kama alishafanya jambo kama hilo ilikuwaje akarudi kwenye utumishi, nani alikuwa nyuma yake
 
Ningekua ndiyo baba mzazi wa huyo binti, ningetafuta hata wapelelezi binafsi ili tu kuhakikisha huyo mpuuzi anatiwa nguvuni.

Ifikie wakati tuwalinde watoto na kuzitambua haki zao. Haiwezekani watu wazima wenzetu wamejaa tele, halafu uende ukamharibu mtoto mdogo na kumfanyia ukatili mpaka atokwe na damu!
 
Achomwe na yeye akija kishtuka anajikuta hana marinda na nya inamuuma vibaya
 
Tuyafikirie maumivu anayoyapata mama, ugonjwa, bintie kubakwa! Kuna watu ni makatili sana duniani.

Pole yake binti, huyu muuguzi ni mgonjwa wa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…