figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,197
- 64,639
Washajiona wanajadili pumba tu ndio watuwekee katika ansard za bunge upupu wao wa akina Sendeka na kilango.Wanaongeza muda wa nini? Hamna CDM bungeni, then bunge lote halina maana.
Sasa hivi hawachangii katiba bali wanaizungumzia CHADEMA tu, wabunge wa CCM hamna kitu wote ni Vilaza tuu
Kama tunadai nchi yetu ni ya kidemokrasia na bunge letu ni la kidemokrasia huwezi kupitisha kitu muhimu kama katiba bila kuungwa mkono na chama kikuu cha upinzani hata mataifa yatatushangaa, majirani zetu Kenya mbali ya kutofautiana na kuuana lakini walirudisha akili na kukaa pamoja kwa suala muhimu la katiba, tuchezee sheria na kanuni zingine lakini si katiba. Hongera Chadema kwa kuwa na msimamo usioyumba.majadiliano ya mwaada wa katiba ulikuwa uishe leo, lakini umeongezewa mda tena. Kama tunavyojua Bunge hili linategemewa kuhitimishwa ijumaa hii. Bado haijajulikana mkataba wa katiba utahitimishwa lini.
chanzo ni startv inayorusha matangazo live kutoka Bungeni.
mia
No, there is something going on in the background. There are efforts to rescue the situation... for benefits of the nationAiseee... wameongeza muda wa kupiga mipasho na matusi?...
Sasa ndio wameanza kujua nguvu ya wabunge 23 waliokuwa wanawabeza, si wapitishe sasa kwa vile wao wako wengi?Aiseee... wameongeza muda wa kupiga mipasho na matusi? jamani wabunge kumbukeni ni kodi zetu hizo mnazitumia kupashana na matusi yasiyokua na tija! inatia kinyaa sana yanayoendelea bungeni dodoma kwa sasa, bunge limekua kama uwanja wa fisi manzese, ccm huu ulafi wa madaraka na ubabe utawatokea puani siku si nyingi.. mmeleta mswada mnaoutaka nyinyi mmeachiwa bunge muujadili badala ya kuujadili mmebaki kutoa matusi na vijembe kwa Chadema na nccr tu, kwani lazima muujadili na cdm wakiwepo?
majadiliano ya mwaada wa katiba ulikuwa uishe leo, lakini umeongezewa mda tena. Kama tunavyojua Bunge hili linategemewa kuhitimishwa ijumaa hii. Bado haijajulikana mkataba wa katiba utahitimishwa lini.
chanzo ni startv inayorusha matangazo live kutoka Bungeni.
mia
Historia imeisha watupa mkono CCM lakini kama kawaida tawala zote zinazokaribia mwisho/kifo huwa hazina uwezo wa kuona wala kusikia! Bado najiuliza kama kweli Kikwete alikua anataka tumkumbuke kwa Katiba Mpya kwanini ameruhusu watu bogus toka serikalini na ndani ya chama chake wavuruge huu mchakato?!!!
Sasa hivi hawachangii katiba bali wanaizungumzia CHADEMA tu, wabunge wa CCM hamna kitu wote ni Vilaza tuu