Mussa Balla Conte is Green & Yellow

Umeeleweka mkuu..ndo maana nimesema tuache muda sasa ufanye kazi yake...
 
Kweli Aucho atakuwa anaondoka.
 
Kwani ndo ana nini huyo Balla Hatun?
Utafikiri labda ni Messi sijui...
Yani ukiingia mtandaoni unashangaa...asije akaw kama Birigimana...πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Habari yako dada
 
Qmaamake viongozi wa simba dah!, sio siri wanatutesa sana mashabiki alafu tukisema tunaonekana wachawi sijui, binafsi naanza kumuelewa Mchome
Endeleeni kuwekeza kwenye PROPAGANDA na kuwahonga wachambuzi uchwara ili waichafue YANGA
 
Yanga huwa inawapiga bao simba kwenye eneo hili! Huu ni msimu wao wa tatu mfululizo wamekuwa wakisajili kwa ajili ya kujaza tu nafasi, badala ya kusajili kwa mihemko na kukivuruga kabisa kikosi chote kila msimu unapoanza kama wafanyavyo simba.

Anatoka Auocho, anakuja Balla! Anatoka Aziz Kii anakuja Doumbia! Yaani ni bandika bandua, huku maumivu kwa wapinzani yakiendelea kubakia palepale!
 
Ni bonge la mchezaji wacha tuendelee kuwafunga wazee wa kuzuiws getini.
Yanga nao ndo wanafanya nin sasa. Wanasajiri Conte alafu wanamuacha Aucho wakati bado yuko vizuri sana. Hiyo namba wangekaa nao wote ili mmoja akikosekana gap lisionekane
 
Kwani huyu ni nani? Ana ubora gani?
 
Yanga nao ndo wanafanya nin sasa. Wanasajiri Conte alafu wanamuacha Aucho wakati bado yuko vizuri sana. Hiyo namba wangekaa nao wote ili mmoja akikosekana gap lisionekane
Aucho waarabu wamefika bei kubwa sana huko uarabuni pesa ambayo Yanga wasingeweza kumbakisha viungo Yanga vipo vya kumwaga ingawaje mwanzo gap litaonekana ila watakaa sawa tu.
 
Aucho waarabu wamefika bei kubwa sana huko uarabuni pesa ambayo Yanga wasingeweza kumbakisha viungo Yanga vipo vya kumwaga ingawaje mwanzo gap litaonekana ila watakaa sawa tu.
Aucho yuko sawa wacha ukachukue mpunga kabla hajastaafu! Hatumdai chochote Aucho ameitendea haki klabu! Ila siyo uarabuni nilisikia ni Vietnam!
 
Kwani ndo ana nini huyo Balla Hatun?
Utafikiri labda ni Messi sijui...
Yani ukiingia mtandaoni unashangaa...asije akaw kama Birigimana...πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Ngoja nakuletea clip Ahmed analia πŸ˜€ nadhani utaelewa
 
Aucho yuko sawa wacha ukachukue mpunga kabla hajastaafu! Hatumdai chochote Aucho ameitendea haki klabu! Ila siyo uarabuni nilisikia ni Vietnam!
Ok sawa aende kokote akachukue mpunga mrefu huku sisi kafanya kazi ya kutosha wacha akavune kwa miaka miwili iliyobakia..
 
Yanga nao ndo wanafanya nin sasa. Wanasajiri Conte alafu wanamuacha Aucho wakati bado yuko vizuri sana. Hiyo namba wangekaa nao wote ili mmoja akikosekana gap lisionekane
Umri ushaenda aucho, nguvu zimepungua.

Afu anatumia mara kwa mara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…