Yanga bila Canavaro,Twite,Okwi,Kiiza,Niyonzima,Msuva,Yondani,Ngasa na wengineo na wale wazungu wenu hiyo ndiyo yangu tunayoijua,sasa nyinyi mlitaka kupeleka yanga B,na kocha Nsagigwa nani akubali magumashi yenu...Uoga wa nini tena!! kwan yanga si walitaka kupeleka timu au wewe umesikia kuwa yanga walikataa kupeleka timu??
Yanga bila Canavaro,Twite,Okwi,Kiiza,Niyonzima,Msuva,Yondani,Ngasa na wengineo na wale wazungu wenu hiyo ndiyo yangu tunayoijua,sasa nyinyi mlitaka kupeleka yanga B,na kocha Nsagigwa nani akubali magumashi yenu...
Azam hawezi kuchukua kombe kwa kikosi kile hata ahonge vipi marefa..................Kwa hiyo ADAMA FC siyo Magumashi? Musonye alikula hela ya AZAM akatafuta mbinu ili washiriki. Kumbuka Mwanzo alitaka ziende timu mbili Yanga na Azam baada ya kushindwa kwenye hilo akaamua kuiondosha Yanga ili Azam waende.
Mwishi wa siku AZAM atakuwa bingwa wa Kagame cup kwa hela yake. Ngumu kupata hela Matumizi ya pesa rahisi sana tu
Kwa hili hapa Nicolas Musonye umechemka, leo nilikua naangalia game ya azam fc ya tanzania dhidi ya adama fc ya ethiopia, lakini nilivyoiona ile timu ya adama uwezo wake ni mbovu mno yaan timu hovyo kabisa na nilipouliza ile timu kule ethiopia inacheza ligi daraja la ngapi nikaambiwa kuwa ile timu inacheza ligi daraja la pili....hapo sasa ndo nikashikwa na mshangao kwa nini musonye aliikataa yanga kushiriki katika mashindano ya kagame ya mwaka huu kwa kisingizio kuwa yanga inapeleka kikosi B. Sasa hebu tujiulize ndugu wanamichezo hivi kikosi B cha Yanga na kile kikosi cha kwaza cha adama fc ni kikosi gani kingeleta ushindani wa kweli kwa haya mashindano ya kagame ya mwaka huu 2014 kule kigali!!!!
Vipi na wale waethiopia walioleta katimu kadaraja la pili wameongeza thamani ya mashindano au wamepunguza thamani ya mashindano????????????????Yupo sahihi kabisa musonye , kwa sababu analinda hadhi ya mashindano hayo, akiruhusu chekechea kwa hizi nchi za afrika mashariki ambazo mashindano ndio yanawahusu kwa kiwango kikubwa , mashindano yatakosa thamani na kila timu itakuwa inalokoteza zalokauka mtaani na kupeleka kwenye mashindano hayo.
Uwepo wao ua kutokuwepo kwao hakuongezi wala kupunguza kito kwenye mashindano hayo, ijapokuwa mashindano yanawahusu lakini kwa sana ni kwa nchi za afrika mashariki tuu, wao ni kama waalikwa tuuVipi na wale waethiopia walioleta katimu kadaraja la pili wameongeza thamani ya mashindano au wamepunguza thamani ya mashindano????????????????
Mkuu hauko sahihi...........jamaa wako kwenye Ethiopian Premier League ........ halafu wameiwakilisha YANGA liukweli kwa rangi hizi!!
[TABLE="class: infobox vcard, width: 22"]
[TR]
[TH]Full name[/TH]
[TD]Adama City Oromiya Football Club[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Nickname(s)[/TH]
[TD="class: nickname"]Adama Kenema[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Founded[/TH]
[TD]1991[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Ground[/TH]
[TD="class: label"]Adama Stadium
Adama, Ethiopia[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH] Capacity[/TH]
[TD]4,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]Chairman[/TH]
[TD="class: agent"]Teshome Quankusie[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]League[/TH]
[TD]Ethiopian Premier League[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH]2010/11[/TH]
[TD]11th[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Hapo nyekundu hebu nifafanulie vizuri, ina maana mashindano haya yanazihusu nchi zile za tanzania, rwanda, uganda, kenya na burundi tu!!!!Uwepo wao ua kutokuwepo kwao hakuongezi wala kupunguza kito kwenye mashindano hayo, ijapokuwa mashindano yanawahusu lakini kwa sana ni kwa nchi za afrika mashariki tuu, wao ni kama waalikwa tuu