Musoma wanaume wakatili sana kwa kina mama

jebs2002

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
9,370
8,538
Ebu angalieni wanaume wenzetu wa musoma wanavyowafanyia ukatili mama zetu
 

Attachments

  • IMG-20160308-WA0000.jpg
    IMG-20160308-WA0000.jpg
    51.5 KB · Views: 43
NA HAWA NA WA MUSOMA................

NA HAWA JE

NA HAWA PIA WANATOKEA MUSOMA


SIHALALISHI UKATILI ILA LIKITOKEA JAMBO BAYA MUSOMA MNAKOMA NALO MPAKA KERO UTAFIKIRI KWENU HAKUNA MATUKIO YA NAMNA HIYO.NI UJINGA TU.KAMA KUNA MTU ANABISHA ASEME KWAO HUKO WANAKOISHI KAMA PEPONI.MASUALA UKATILI WA WATU NI HULKA TU MBOVU ZA UBINADAMU,WATU HAWANA UTU SIKU HIZI KUANASIBISHA NA MUSOMA NI UWENDAWAZIMU WA KIUKAWA.JUZI TU KUNA MTOTO SINGIDA ALICHOMWA MDOMO NA WZAZI WAKE KWA KUIBA TSH 5000 LAKINI HAKUNA ALIYELIKOMALIA SUALA HILO
ILA LINGETOKEA MARA TUKIO HILO PIMBI MNGELIKOMALIA NA LINGETREND BALAAAAAAAAAAAAAAAA............TUBADILIKE.
TUKOMESHE UKATILI .
 
Usitujumuishe wote mura!! Aaaaaarya!!! Mbona sehemu nyingi tu ukatili unafanyika we umeona ni Mara tu?
 
Wewe mleta mada acha upumbavu wa kujumuisha wanaume wote wa Musoma. Kwani wewe kwenu huko Mbona uchawi umekithiri na kila siku mnakutwa na viungo vya ndugu zetu ...huu sio ukatili!!????
 
Huyu jamaa hanga numrisya yaan ameona musoma tu!!! juzi kati nilisikia huko kanda ya kati mtoto kachomwa mdomo kisa kaiba mboga aina CHINIZI!!!!!!! sasa sijui huu kama ni ukatili au lah!! taya osarwe ghwansa nyaishobhu.
 
Back
Top Bottom