Maandamano yakupinga bunge la katiba. Yanaendelea muda huu musoma mjini . Kuwanzia kurumuri nipo mitaa ya chuo cha ustawi wa jamii buhare hapa wanainchi waliobeba mabango mbali mbali wapo barabarani wanaelekea ofisi ya mkuu wa mkoa mara..
maandamano ni haki ya msingi kwa aliyedhurumiwa kupeleka ujumbe wake kwa wahusika. busara itumike kuweka askari a kuwalinda wasilete vurugu kwa shughuli za wengine
Maandamano yakupinga bunge la katiba. Yanaendelea muda huu musoma mjini . Kuwanzia kurumuri nipo mitaa ya chuo cha ustawi wa jamii buhare hapa wanainchi waliobeba mabango mbali mbali wapo barabarani wanaelekea ofisi ya mkuu wa mkoa mara..
hayo maandamano yako kwenyemasaburi yako or? Mimi nipo hapa chuo cha maendeleo ya jamii buhare na sijaona maandamano au inawezekana hao wanaandamana kwa kiini macho? kweli wapuuzi ndio waliwao.