NdioHOJA ni kwama je wachanga (MUSHI) ni moja na makabila 12 ya wana wa Israeli?
njoo na hoja za ku justify point yako mkuu - kwamba hawa jamaa kumbe ni moja ya kabila teule za Mungu.Ndio
hapana, ila nimevutika kuweka historia sawa.Kwani we mtoa mada na wewe ni Mushi ??
Ahaaaahapana, ila nimevutika kuweka historia sawa.
kwa hiyo kumbe me muiziraili hahaha nlikuwa sijuiiii hahahaha huhuhuh ahahah ila siyo kweliNasubiri mapovu ya kufulia nguo za gereji.
huu ukoo ulikuwa kusini kwa misri ya kale; ndiyo hao hao akina Mushi.Mushi au Kushi? Sijaelewa mkuu
maandiko matakatifu:TOA ushahidi wa uhusiano wa Lawi na Mushi
hayo ni majina ambayo baba ama mama wa mtoto anaweza kumpatia mwanae; sisi hapa tunaongelea wana wa Lawi ambao Mushi ni mmoja wao. Lawi ni kabila moja kati ya 12 ya wana wa Islaeli.Mbona kuna watu wanaitwa, Benjamin, Israel, Reuben, Naftal ,Yuda nk hawa nao ni waisrael? Sio kila kitu cha kufananishwa
ha ha haSorry, unamaanisha Mushi ... Huyu wa kibosho ????? Au sijakuelewa vizuri ?
Hata hilo mushi lilitajwa tu mkuuhayo ni majina ambayo baba ama mama wa mtoto anaweza kumpatia mwanae; sisi hapa tunaongelea wana wa Lawi ambao Mushi ni mmoja wao. Lawi ni kabila moja kati ya 12 ya wana wa Islaeli.