Museveni hivi bomba la mafuta litakuja kweli
Huyu jamaa niligundua hivyo kitambo sana, hua ako na ahadi nyingi Sana lakini Kwa vitendo zero... Kwa mfano hayo mafuta yaligunduliwa 2005 .... Miaka 13 imepotea hadi sasa bado hakuna hatua yoyote imefanyika kiasi cha kua anaeza akaamua kupitisha bomba S.Sudan Hadi Sudan port ..Museveni naona ni mtu kigeugeu sana...
Fire fighting...Juzi museveni alimtuma waziri wake sam kutesa na barua ya dharura kwa Magufuli kuhusu upitishaji wa mizigo ya uganda Dar port.
Uhuru anajaribu kujinasua kwa hilo, wanabiashara wa Uganda wamegoma kutumia SGR ya kenya..Sasa nikumtongoza mzee M7
Kesho utamuona amekuja bandari ya dar,hahah.Museveni naona ni mtu kigeugeu sana...
Not relevant,Uhuru goes to china, UK et al personaly almost every week but he cannot match the kind of money, investment and trade deals that JPM inks while seeping tea with his wife at ikulu DarWhich one looks more serious, sending a messenger ama kuenda personally?
Sent using Jamii Forums mobile app