BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,199
Kuna baadhi ya Marais wetu wa nchi za kiafrika wakikaa sana madarakani wanakosa uoga dhidi ya ukoloni mamboleo wa Wazungu, wanawapiga kwa maneno magumu laivu bila chenga mfano Mugabe/Nyerere/kaunda/Mandela/ Gadafi/Museveni.
Nilimsikia akiongea maneno hayo siku akiapishwa. Pia alimwalika Rais Bashir anayesakwa na The Huage (ICC) Wazungu toka EU waliondoka bila kuaga. Ni Vema kwa viongozi waliomadarakani wawape wazungu makavu laivu lakini watende haki katika nchi wanazoziongoza.
Mungu ibariki Afrika