Tofauti na Mudavadi ,Uhuru kapigana hadi kufikia hapo alipo,na Uhuru yu tofauti na watoto wa vizito wengine/maraisi wengine ambao baba zao huwabeba yeye anajibeba mwenyewe ni kama vile RAO,tatizo linalomukabili Uhuru ni ukabila na kabila lake na wale wazee wenye nchi(Mt Kenya mafia)hao ndio wanahofia majani ya chai na maua kupigwa ban,kwa ufupi wanajijali wao na si wananchi wa Kenya.Kwa Mudavadi ni aibu aliingizwa mukenge na hao MT Kenya mafia kuwa atoke ODM na atapewa uraisi mezani(wengi walisema Mudavadi ni project kutoka ikulu ya Mwai)alipokuwa ODM alitaka uchaguzi wa haki kutoka mashinani,sasa huko kwenye Jubilee hataki uchaguzi anaona ana haki ya kupewa ushindi wa mezani,hapana kwa hilo Mudavadi na Waluhya wenzake wamenoa,aende kwa debe,tena Uhuru yuko fair sana Mudavadi anataka kulia kivulini wakati wenzake wametoa jasho,watu walisema tamaa ilimponza fisi Mudavadi angebaki ODM angeambulia hata umakamu kuliko hivi sasa ambapo yupo njia panda
Dena umehamia Kenyans politics?
Ndio The Boss kuna ubaya???
Hakuna
hongera...wapendeza huku zaidi
Unprecedent Mudavadi says , No aid monies for Kenya, Kenya would not sell Tea abroad and Kenya is not ready for another Kikuyu precidency. Hardtalk to say the least.
simplemind you dont want to hear about Kikuyu again?? ha ha haUnprecedent Mudavadi says , No aid monies for Kenya, Kenya would not sell Tea abroad and Kenya is not ready for another Kikuyu precidency. Hardtalk to say the least.
Unprecedent Mudavadi says , No aid monies for Kenya, Kenya would not sell Tea abroad and Kenya is not ready for another Kikuyu precidency. Hardtalk to say the least.
Njia ni nyeupe sasa kwa 'RaO'!
Hawa watu watauana this time, maana mpaka leo wanaailisha kikao cha kuchangua nani abebe bendera ya Jubilee....
Uhuru Kenyata naona kama bado hajatulia, coz Mwanzo alitaka kusign na Raila ikashindikana sasa wako na Mudavadi sijui kama kitaeleweka. Ila for sure uchaguzi utakuwa mkali sana mwakani. But Uhuru asahau kuwa Rais wa Kenya
Duh hii kali ngoja nimsubiri mzee wa nondo za Kenya Ab-Titchaz amwage vitu vyake.
Yule IGP aliyeshinda interview? nilipenda sana Mdada mmoja alikuwa anajibu vizuri sana maswali....Acha tu yaani ila taratibu ndo mwendo...............
Ngoja tusubiri IGP kesho kama wabunge watampisha David Kimaiyo