Murder Or suicide?

Its a murder not a suicide
Hiyo bastola kashikishwa angekuwa kajiua hiyo bastola ingemponyoka kwasbb ya ile vibration na mkono kupoteza nguvu na bostola ingedondoka soon after shooting
 
Nahis huyo ndo altaka kumuua mwenzake Ila aliwahiwa ngoja nwaproovie
 
mkuu naona umepost..halafu ukajijibu kwa fake id..isiyo na hata post noja wala maelezo yoyote...
sio rahis kwa mtu wa kawaida kutoa hayo majibu ambayo ni ripot ya kiuchunguz na kuiwakilisha kiustad kiasi hiki..just kwa kuona picha tu.. na hapo ndo nikaanza kupata wasiwasi na wewe..
keep it up..

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ndo nilimuua. Musihangaike.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
kutoka alipokuwa kama angekuwa amejiua alitakiwa awe ametumia mkono wa kushoto kujilipua ili damu ionekane upande wa pili wake kulia unless wkt anajishoot aligeuka kulipa dirisha mgongo ndo akatumia mkono wa kulia

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Wengi mnaochangia hapa ni bushlawyers. Learned brothers & sisters hawawezi kujenga hitimisho kiweledi kwa kusema tu ni murder au suicide. Inaweza kuwa manslaughter pia.

Lazima watajiuliza nini kinatakiwa kutosheleza mahitaji ya jinai ya murder kuwepo. Sio kila mauaji ni murder.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unaangalia sana movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…