Dividend
JF-Expert Member
- Jan 15, 2017
- 2,096
- 3,326
Ndugu nawasalimu,
Inawezekana hapa pasiwe ni sehemu sahihi pa kuombea kazi lakini naamini nitapata msaada au muongozo kwa namna moja au nyingine.
Mimi nimehitimu chuo mwaka 2015 katika fani ya uhasibu na usimamizi wa fedha (Bachelor of Accounting and Finance) na ninauzoefu wa kufanya kazi mwaka mmoja kama internship.
Kwa muda wote nimekuwa nikitafuta kazi ya kudumu bila mafanikio. Wandugu kama kuna mtu anayeweza kuniunganisha au kunisaidia kupata kazi uhasibu au yoyote inayoendana na fani yangu nitashukuru sana.
Kwa sasa napatikana Dar es salaam.
Kwa mawasiliano au maelezo zaidi ni PM tafadhali.
Thanks in advance.....
Note: kujiajiri napenda sana, tatizo ni initial capital.